Diva ataja sababu za Alikiba kushindwa kung'aa, team Jokate wamjia juu

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Baada ya Alikiba kushindwa kupata shangwe iliyotarajiwa kutoka kwa mashabiki huku jina la mpinzani wake diamond likitawala japokuwa hakuwepo kwenye tamasha hilo.
Diva mtangazaji na shabiki mkubwa wa Alikiba ametoa sababu ya staa huyu kushindwa kung'aa kupitia twitter
1478429251804.jpg

Diva anadai jokate ndo kikwazo cha nyota ya alikiba kushindwa kung'aa.
Hata hivyo mashabiki wa jokate hawakuvumilia na kuanza kumwagia matusi
 
>>> Anachokisema NI KWELI HUYO demu jokate ni Gundu Ndio maana HASHEEM THABIT alikuwa anaporomoka na alipostuka Akamkimbia..>>> kiba akiachana na huyo atapata heshima yake.
Mkuu pale kwenye mambo ya naniliu ndio pake,kiba kishakua ka teja
 
Hahaha leo insta hapatoshi
Ila kiukweli joket hana gundu alikiba ndio ana gundu jokate hafai kua nahuyu jamaaa
 
Kiba alimshukuru Jokate na mwingine kwa vazi lake la jana usiku, maybe ndio maana Diva kampa yake. Ila tunajua Jokate anampenda Hashimu T.
 
Back
Top Bottom