brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,265
- 2,276
Kwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema Sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake Diamond itakapo tengemaa.
Alieleza kwa kirefu sana chibu kuhusiana na hii makitu hii, (kuwa baba ni kazi ya ziada), sio kusababisha tu kupatikana kwa mtotoMimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana mtoto wake inashindwa kuelewana nea - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zake na mwanae - haya mambo ya kukimbilia wana habari kupiga piga picha kumlalamikia mwanae abafikiri kutansaudia nini?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri kBaba yajke kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Dada Wema tenda Wema nenda zako M/mungu atakuzidishia pale ulipotoa/utakapo toa.Kwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake diamond itakapo tengemaa
View attachment 394405
View attachment 394406
View attachment 394407
View attachment 394408
Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakariNi jambo zuri sana wema, Ila naona diamond atazalilika kwenye jamii maana anauwezo pia wa kumsaidia baba yake
Unapokuwa umenenewa neno baya nenda huko alikokunenea ukasema huyu alilonena c kweli kuna hivihivi lkn kama linasemwa ww uko kimya basi kunajambo?ww bahat sjui kama unazifaha tabia za wanawake juu ya watoto wao hasa wa kiume lkn ukiwa mtoto ww ni mtoto tu neno baba ni kubwa sana na lenye baraka,kumbuka watu hawa Hawa (eva)Delira,Sarah na wengi wa mifano hiyo ndo utajua mwanamke ni nani,mungu akupe akili ya kuwatambua hao watu wanaoitwa wa mama.Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Wema anaitaka saa ya almasi, zari anaujali mudaKwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake diamond itakapo tengemaa
View attachment 394405
View attachment 394406
View attachment 394407
View attachment 394408
Laiti ungekuwa ww unazani kifo chako ingekuwa fundisho kwako?mbona inaonekana ww katiri.Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
Soma kwa makini nilichoandika kisha tafakari kwa makiniLaiti ungekuwa ww unazani kifo chako ingekuwa fundisho kwako?mbona inaonekana ww katiri.
Kwa kawaida kujipendeka mtu humfanyia ihsani mtu ampendae mfano wema akimfanyia ihsani mama chibu waweza kusema anajipendekeza ili mama chibu amseme wema kwa chibu kuwa kuna na, wema atakufaa na sio kwa babayake mtu ambae sikuzote huonekana kama hatakiwi hivi alafu mtu akajipendekezesizani kama kutakua na mafanikio au nawe unapenda kusikia baba chibu akiteseka?Kujipendekeza pendekeza tu kwa chibu
Je hiyo mizizi. Ndo iwe sehemu ya kukimbiana?mungu ana maana sana ww kuitwa baba lkn ikumbike Eden baada ya shida ile ni nani alikuwa mdanganyifu?wa mama wameumbwa kwa namna ya ajabu sana wafitinishi tena wenye kudanganyika swala la matatizo ya kifamilia eneo kubwa chanzo cha mambo yote ya matatizo ni mwanamke.Soma kwa makini nilichoandika kisha tafakari kwa makini
Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumianahayo ni matusi makubwa sana kwa diamond!!!halafu wema aache sifa za kijinga!
Huyu alijidai mjanja wakati diamond akiwa bado dogo.Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
sawa sijakataa kua asaidiwe!hv wa kumsaidia kamuona mzazi wa diamond tu!!?!!Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumiana
Bado nasisitiza hii ni ishu ya kifamilia na kwakuwa ni DiamondJe hiyo mizizi. Ndo iwe sehemu ya kukimbiana?mungu ana maana sana ww kuitwa baba lkn ikumbike Eden baada ya shida ile ni nani alikuwa mdanganyifu?wa mama wameumbwa kwa namna ya ajabu sana wafitinishi tena wenye kudanganyika swala la matatizo ya kifamilia eneo kubwa chanzo cha mambo yote ya matatizo ni mwanamke.
Kivipi yani?hayo ni matusi makubwa sana kwa diamond!!!halafu wema aache sifa za kijinga!