Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,080
Hizi team mbili kwa namna moja au nyingine zinachangia kurudisha mziki wetu nyuma leo hii wasanii wanajisahau kufanya kazi na kutegemea hizi team ziwabebe matokeo yake tunaona kwenye tuzo za kimataifa wasanii wetu wakiendelea kushinda kwa kura
Wasanii wengi wanakosa namna ya kupromote kazi zao hali ambayo,nitofauti na miaka 4 iliyopita kila msanii anaetoa kazi nzuri inafanya vizuri
Leo hii kuna watu wameenda kwa page ya mtv kulalamika kuwa kiba alistahili sasa kwa kazi ipi aliyoifanya kiba zidi ya mpinzani wake
Zipo team zinazohamasisha msanii wa nje apigiwe kura
Basata nawaomba muifanye kazi hii ya kuzifungia hizi team na hatua kali zidi yao,wamiliki wa akaunt zao maana kwanini tusi la,mama kila post hawa watu wamelaaniwa