Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Karibu kwenye Tecno Live na Salama Jabir. Kuwa huru kuuliza maswali yako kwenye comment.
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Sauti Sol ni kundi la muziki la nchini Kenya likijumuisha waimbaji Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi pamoja na mpiga guitar wao Polycarp Otieno. Navy Kenzo ni kundi la nchini...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Guys mniwie radhi kama ntawaboa,lakini nimeona nijue hili.kwani hakunaga dogi fj!!.Tumeona hapa mbongo kuna watu hata ukiskia saut yake tu,au kuona picha yake unamtambua hata kama hukuwahi kumuona...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye...
4 Reactions
136 Replies
17K Views
Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa? 1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani...
7 Reactions
42 Replies
7K Views
Niaje wadau. Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata. Kwa mujibu wa Mtv Ema...
10 Reactions
179 Replies
18K Views
Msanii wa filamu ambaye anafanya vizuri na filamu ya ‘Safari ya Gwalu’ Gabo Zigamba amefunguka kwa kusema kuwa siku hizi hakuna wanawake wa kuoa. Mwigizaji huyo ambaye anapewa nafasi kubwa...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ndiye mrembo anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia ‘Miss World’, ameilalamikia kamati ya mashindano hayo kwa...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Hapo awali, Wizkid hakuwa mtu aliyejishughulisha kabisa na masuala ya tuzo. Lakini siku za hivi karibuni baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo kwenye MTV MAMA, huenda aliamua kuufungua moyo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hatimaye mshindi wa mtv ema ametangazwa hivi punde kipengele cha african act huku Wizkid akitangazwa mshindi. Alikiba aliekuwa na matumaini makubwa kushinda ameangukia pua Wizkid amewashinda...
6 Reactions
59 Replies
7K Views
Kwa wale tuliobahatika jana kuwepo pale Leaders nadhani tulijisikia vibaya sana kuona mtoto wa nyumbani Diamond bin Laden alivyofanya show substandard ukilinganisha na Wiz Kid. Kiukweli Diamond...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Wakuu Msanii mkali unapiga show pesa inaingia, album unauza na zinauzika pote duniani, tuzo za nini? Sasa ifike wakati serikali iweke mfumo wa album vizuri. Wasanii washindane kimauzo ya album...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni kama fashion sasa kwa wasanii wa Bongo Fleva kwa kila mmoja kutaka kuwa na lebo yake. Ukiachilia mbali wale ambao walikwishatangulia kwenye mambo hayo na lebo zao zikafanya poa. King...
4 Reactions
26 Replies
10K Views
Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mkali wa bongo fleva Alikiba au King Kiba akiongea kwenye kipindi cha Jahazi clouds fm amesema management yake inafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa mtv ema iliyotelewa jana...
4 Reactions
103 Replies
13K Views
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best...
24 Reactions
154 Replies
29K Views
sipati picha watakavyo pigana kikumbo kupata mawasiliano yake.chezea wadada wa mujini wewe.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habar wadau, hii APA ni akili kubwa kuusu nan ni bora zaid kati ya hawa maharamia wawili wa mzik wa bongo fleva. Natoa facts tu (zikikuuma its for ur own risk) 1. Alikiba ni mkongwe kwenye game...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Back
Top Bottom