Ushauri kwa TV1

Malyakishu

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,968
2,340
Kuna kipindi kinaitwa the clip .
yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo

Kwa ushauri wangu kuliko muweke kipindi cha mc pilipili ni bora muweke kipindi cha mapishi tujifunze kupika kababu na kachori au bagia zitatusaidia hata kunywea chai

Vinginevyo huyo mc pilipili abadili abadili aina ya comed aifanyayo TV1 labda anaweza wavutia watizamaji maana anapoteza muda tu

Japo maneno yangu sio sheria lakini ukweli nmesema
 
Back
Top Bottom