Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Haloooooooo!!! Mi mbea jamani!! Ok iko hivi, dada yetu Shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na Chidi Mapenzi. Inasemekana baada ya harusi tu Chidi akajiendea zake China kwa kisingizio cha...
3 Reactions
86 Replies
16K Views
Msanii wa muziki wa kurap kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amesema anajiandaa kuingia kwenda ndoa siku za usoni kwa kuwa lazima aingie kwenye maisha ya ndoa akiwa na umri mdogo. Rapa huyo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Rapa Country Boy amefunguka na kusema kuwa kwa sasa amekua kisanaa hivyo hayuko tayari kufanya ‘Playback’ katika show zake na kwamba sasa anafanya muziki ‘live’ na band yake na ameamua kufanya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaitwa Ice Boy anafanya muziki wa Rap, amekuwa akifananishwa na tupac mara kwa mara lakini amelelamika kutopata deals kutokana na muonekano wake huo lakini ana ndoto za kwenda ulaya kumuigiza...
6 Reactions
64 Replies
13K Views
Kwenye video hii nakuangazia msanii wa mziki wa Hiphop Tanzania Nikki wa pili akiongelea masuala mazima ya ubunifu, elimu pamoja na mambo mengine yanayohusu maendeleo ya jamii. SUBSCRIBE, SHARE NA...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba anaewajua kwa majina yao halisi,wanapoishi au viwanja vyao waigizaji hawa wawili wa tamthilia inayoonyeshwa na EATV ya siri za familia "Brenda na Kelly" muhimu kuliko yote nataka contacts...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu! Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya...
12 Reactions
114 Replies
16K Views
Wamepotelea Wapi Hawa wasanii Watatu? Dr Leader/Msambaa halisi Mo Kweli/Arusha Boy Mpaki/mpe sure
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Drake hakamatiki kwa wasanii wa Hip Hop wa kizazi hiki – albamu yake ‘Views’ yaingia kwenye rekodi ya orodha ya albamu zilizowahi kukaa muda mrefu kwenye chati za Billboard. Albamu hiyo iliyotoka...
1 Reactions
1 Replies
860 Views
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini, Dr Cheni amesema hatatoa tena filamu nyingine kutokana na hali ya kibiashara ilivyo katika tasnia ya filamu hapa nchini Dr. Cheni alisema hayo...
3 Reactions
112 Replies
13K Views
Jina lake halisi anaitwa Antoine Christophe Agbepa Mumba alizaliwa 13 July 1956),anajulikana zaidi kama Koffi Olomide, ni mkongo ambae anaimba mziki aina ya soukous, pia ni dansa mzuri...
6 Reactions
72 Replies
18K Views
Diamond Platnumz amedai wimbo wake mpya ambao haujatoka ‘Marry You’ aliomshirikisha Ne-Yo utachezwa mpaka kwenye vituo vya redio na runinga nchini Marekani. Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Salome’...
5 Reactions
69 Replies
12K Views
Hizi team mbili kwa namna moja au nyingine zinachangia kurudisha mziki wetu nyuma leo hii wasanii wanajisahau kufanya kazi na kutegemea hizi team ziwabebe matokeo yake tunaona kwenye tuzo za...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya Alikiba kushindwa kupata shangwe iliyotarajiwa kutoka kwa mashabiki huku jina la mpinzani wake diamond likitawala japokuwa hakuwepo kwenye tamasha hilo. Diva mtangazaji na shabiki mkubwa...
5 Reactions
37 Replies
9K Views
Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako believe me, sahau kutokaaa. Huwa najaribu kumfikiria Mark Zuckerberg, Michael Jordan, the...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba anaewajua kwa majina yao halisi,wanapoishi au viwanja vyao waigizaji hawa wawili wa tamthilia inayoonyeshwa na EATV ya siri za familia "Brenda na Kelly" muhimu kuliko yote nataka contacts...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baba la baba diamond platnumz chibu dangote simba kaza mdogo wangu huyu kijana rayyvann anakuja kwa kasi sana Ingawa ni kitu kizuri kuona kijana anazidi kufanikiwa tena isitoshe yupo katika lebel...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wakuu! Kutokana na uzito wa tuzo hizi za MTV Europe Music Awards, ambapo Alikiba ni mtanzania pekee anayewakilisha Tanzania na East Africa kwenye mtanange huo. Hapa nimeamua kuleta hii...
1 Reactions
102 Replies
10K Views
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond. Ila...
11 Reactions
1K Replies
71K Views
Kuna kipindi kinaitwa the clip . yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo Kwa...
19 Reactions
124 Replies
9K Views
Back
Top Bottom