Kwa anae wajua wanadada hawa kwa undani...

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,455
12,330
Naomba anaewajua kwa majina yao halisi,wanapoishi au viwanja vyao waigizaji hawa wawili wa tamthilia inayoonyeshwa na EATV ya siri za familia "Brenda na Kelly" muhimu kuliko yote nataka contacts zao email or mobile phone....hasa hasa mwanadada "kelly".
kama wapo humu sio mbaya kuja PM.

Thanks in advance...
 
Back
Top Bottom