Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,874
Nimekuja kugundua Shilole ni msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi TZ. Vanessa haoni ndani kwa Shishi.Niliposikia mvurugano wao ikabidi nifuatilie nikagundua Shishi anawafuasi wengi ndani ya Insta.
Japo kuwa Vanessa anapiga kimataifa lakini tukija kuangalia followers Shishi yupo na wengi
Shishi: 1,539,889 Vanessa: 1,524,374
Kwa upande wa Followers Shishi anakimbiza.
Japo kuwa Vanessa anapiga kimataifa lakini tukija kuangalia followers Shishi yupo na wengi
Shishi: 1,539,889 Vanessa: 1,524,374
Kwa upande wa Followers Shishi anakimbiza.