Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari wakuu!

Kutokana na uzito wa tuzo hizi za MTV Europe Music Awards, ambapo Alikiba ni mtanzania pekee anayewakilisha Tanzania na East Africa kwenye mtanange huo.
Hapa nimeamua kuleta hii thread maalumu kwa ajili tu ya kupiga kura (Voting) , Watanzania wote na East Africans kwa ujumla karibuni hapa tumpigie kura Alikiba, ambapo tumebakiwa na siku chache tu.

1.Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye link ntakayoituma hapa, itakupeleka moja kwa moja kwenye category aliyepo Kingkiba,

2.cha kufanya utaclick neno " VOTE" alaf utaletewa ujumbe thanks for voting, Unaruhusiwa kuvote mara nyingi uwezavyo.

Link ya kuvote

MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act
 
Acha nimpigie kura Ali kiba hapa sio yule anaejiita Simba niwaachie majangili kumwinda.
 
Kwa upuuzi ulioufanya kwa diamond wakati wa akigombea tuzo mtv na bet (zile kampeni zenu vote for davido, vote for wizkid) , hustaili kufungua huu uzi at least ungefungua kwa acc nyingine na upuuzi wako huu huu ndio utakaompunguzia kura kiba, umekuwa mchochezi sana utafikiri mke mdogo mwenye mashauzi, badilika kuvote tutavote kwa kiba (navote kwake kila siku) lkn Kuna wenzako wa upande mwingine, wenye ushabiki kama wako hawatompigia kura kiba, kwa sababu ya vidonda mlivyosabisha nyuma (ushabiki maandazi) , badilika eti leo ndio unakumbuka utaifa, siku zote ulikuwa wapi kuhamasisha hilo na kiba akikosa tuzo wa kwanza kukulaumu ni ww kwa sababu ya upuuzi wako.
 
Ngoja nimpigie kura huyu kijana,hivi ni huyu peke yake ndio anatuwakilisha huko au kunamwingine?

Asante mkuu, Vote mara nyingi uwezavyo, no limitation,

Alikiba Yupo peke yake kutokea Tanzania na East Africa,
 
Kwa upuuzi ulioufanya kwa diamond wakati wa akigombea tuzo mtv na bet (zile kampeni zenu vote for davido, vote for wizkid) , hustaili kufungua huu uzi at least ungefungua kwa acc nyingine na upuuzi wako huu huu ndio utakaompunguzia kura kiba, umekuwa mchochezi sana utafikiri mke mdogo mwenye mashauzi, badilika kuvote tutavote kwa kiba (navote kwake kila siku) lkn Kuna wenzako wa upande mwingine, wenye ushabiki kama wako hawatompigia kura kiba, kwa sababu ya vidonda mlivyosabisha nyuma (ushabiki maandazi) , badilika eti leo ndio unakumbuka utaifa, siku zote ulikuwa wapi kuhamasisha hilo na kiba akikosa tuzo wa kwanza kukulaumu ni ww kwa sababu ya upuuzi wako.

Acha uchochezi mkuu, Diamond na Alikiba wote ni vijana wetu, tunapofika kwenye suala la utaifa tuweke itikadi za uteam pembeni.
 
Back
Top Bottom