Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yono yawapa siku 14 Babu Tale na Nduguye kuweka wazi mali za TipTop lasivyo watafungwa. Ni baada ya kutomlipa Sheikh Mbonde fadia Tsh 250m.
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Akaamua atumbuize mwenyewe
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Bill Gates - (William Henry Gates III) Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, mtu tajiri sana duniani na mwanzilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali. Bill Gates ni mwanzilishi, mwenyekiti na...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Mzazi mwenziye na mwanamuziki Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amefunguka kuwa kama asingepitia misukosuko ya kimapenzi na mzazi mwenziye huyo mpaka kuachana basi...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanamuziki Keith Wilder(65) amefariki dunia. Wider alikuwa akifanya vizuri na bendi yake ya Heatwave kipindi cha miaka ya 70. Kupitia bendi yake hiyo wameshafanya hits song kama “Always and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kweli kabisa kaka Rich Mavoko umepwaya kabisa kama tulivyotegemea ungefanya vizuri zaidi kumbe imekuwa kinyume chake. Tatizo siyo kufanya wimbo na msanii wa Nigeria au popote pale hapana hata...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Kuna hii lable kubwa nchini ambayo ilikuwa ndo habari ya mujini hapa Tz.Kwa sasa label hii masikini wa...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Naombeni profile ya huyu dada ya Tanzania Familia yake na shule alizosoma
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Wajameni, babie machachari na mwenye muonekano wa aina yake na host wa kipindi ngazi kwa ngazi yuko wapi tena. Huyu alikuwa host wa kipindi cha mkasi na baadae kuwa ngazi kwa ngazi katika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kumekuwa na hisia katika vyombo vya habari vya Afrika Kusini baada ya mwanamuziki mmoja wa taifa hilo Emtee kwa bahati mbaya kuonyesha uume wake katika mtandao wa Instagram Live. Chombo cha...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nikiangalia na kupitia matukio na misukosuko yote ambayo couple hii imepitia na ukizingatia kua nia ma staa ambao kila siku hawaachi kuongelewa kwa ubaya na uzuri pia nadiriki kusema kua hii ndio...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Irene Uwoya kufunga ndoa tena au ni movie Picha hizi kwenye video hii zawaacha mashabiki njia panda please dont forget subscribe for more videos za matukio mbali mbali
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Msanii Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa ndani ya miaka miwili au mitatu inayokuja anaona wazi muziki wa bongo fleva unakwenda kufa kama ambavyo tasnia ya filamu bongo ilivyokufa kwa kile...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Diamondplutnamz aliamua kumfungukia mzazi mwenzake maneno haya baada ya Zari Bosslady kumpost Diamond kwenye account yake ya Instagram kumpongeza baba watoto wake kwaTunzo aliyoipata ya Universal...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Msanii wa Bongoflavour Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, mambo ya mapenzi ameyaweka kando hivyo watu aliokuwa akitembea nao ‘vi-ben ten’ sasa basi. Shilole alisema kuwa, akiyaweka...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema: Universal Music Group wamemtunuku tuzo ya 6x PLATNUM award hit maker wa "HALLELUJAH" Diamond Platnumz uko South Africa kwa wimbo wa "I want Marry you"...
5 Reactions
79 Replies
15K Views
I was jus passing through the net and found this nice ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mapicha na mavideo yanayozidi kusambaa ni kwamba kwa sasa huko south familia ya diamond ni raha, amani na furaha tu iliyotawala, yale majanga yote kwishilia mbali au waweza sema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Danube home wamuandikia hamisa mobetto barua afute video ya tangazo lao kabla hajachukuliwa hatua Kali za kisheria kutokana na dhumuni lake la kujipatia maslahi binafsi na kutaka kuichafua kampuni
2 Reactions
111 Replies
17K Views
Back
Top Bottom