nimejivika uhusika wa Lulu kwa kesi inayomkabili,nahisi ningekua ni mimi kabla ya hiyo tarehe13 Nov ndugu zangu wangekua wamenizika tayari kwa msongo wa mawazo
ila nampongeza kwa kuwa strong mpaka...
Kufuatia tetesi hizo vyombo mbalimbali vya habari na mashabiki wao wameibuka na kuhoji bongo muvi kunani? Maana ni juzi tu Wolper kaibuka na kiben teni leo hii ni Uwoya
Sent using Jamii Forums...
Uwoya amedai hajawahikuachana na mumewe Ndikumana ila hawapo pamoja kwa sababu ya mwanaume huyo yupo busy na kazi
Pia amesema hamjui Harmo rapa zaidi ya kumsikia mitandaoni na watu wamekuwa...
Kipindi cha FNL kinatazamwa na watu wengi sana.
Sasa kuna jamaa mmoja wamemweka pale anajichetuachetua tu kama zezeta,
Mara ainame, mara aoneshe mlegezo, atembee kwa kujirusharusha, mara ajirambe...
Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa china same place ila hawajapig picha pamoja.. Ambapo...
habari wadau..
hivi wasomi wa kuajiriwa taasisi za uma na private sector.. kipato chao hakiruhusu kufanya harusi za ukweli.. kama ambao hawajaenda shule kina joti wanavyozifanya...
je ni vipato...
Sheikh aonesha kutoridhishwa na mwenendo/style anaokwenda nao mwanamziki nguli nchini diamondplatnumz....asema life style yake kwa sasa haiendani kabisa na miongozo ya imani/dini yake ya...
rayctanzania: Unajua nini ! Kwenye maisha usimuogope binadamu mwenzio ila muheshimu tu kama na yeye anakuheshimu lakini ! Maana kuna binadamu wengine wanajihisi kama wao ndio Mungu vile ! Afu...
Habari wakuu,
Leo ni siku kubwa ya mchekeshaji wetu maarufu Joti bwana huyu ameamua kufunga pingu za maisha.Ndoa hiyo imefungwa kanisa katoliki Magomeni.Bwana na bibi harusi wamenoga sana...
Diamond Platnumz ni msanii wa 19 Duniani Kati ya wasanii wanaosikilizwa zaidi kwenye kituo cha BBC RADIO LONDON,Uku WizKid toka Nigeria ikishika ya 12.
Uku nafasi ya kwanza ipo na Ed Sheeran na...
Kumekuwa na watu hapa wakimkandia marehemu kanumba kwamba alikuwa eti anakabaka ka lulu,kwanza nianze kusema ya kwamba hata bongo movie wengi wanajua mengi na mtaani yanaongelewa,ni kweli lulu ana...
Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya...
Baada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la...
Harusi ya mchekeshaji mahiri nchini Jotti itaonyeshwa live na Azam Tv kupitia chanel yake ya Sinema Zetu kuanzia saa tatu(3) kamili usiku live kutoka mlimani City.
Joti ameahidi burudani na vitu...
Matukio katika picha mchekeshaji joti akiwa na mkewe mtarajiwa kwenye sendoff paty yao. Jumamosi hii ndio harusi babkubwa ndani ya ukumbi wa mlimani city
GAZETI LA GLOBAL PUBLISHER HIVI KARIBUNI LIMEJULISHWA NA MSANII LULU AKA MAMA MAUCHI KWAMBA SI YEYE BALI AKIVAA NGUO NDEFU MAPAJANA MAKALIO YANAWASHWA..KAZI KWAKO WEWE UNAWASHWA NINI UNAENGANGANA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.