Baada ya kutafuta mtoto kwa kipindi kirefu hatimaye, mwanamitindo happiness magese maarufu kama ladivamillen amepata mtoto wa kiume aitwae kairo.
Hongera sana Millen Mungu ni mwema na wakati wa...
kusema ukweli huyu mtangzaji wa power break fast yuko vizuri sana I think IQ yake na emotional intelligence yake iko juu sana compared to her colleagues......Big Up Mdada
Nani mbabe & nani mrembo kwa hawa watu watatu
1. Kalapina
huyu mshikaji anafahamika kwa ukorofi lani nguvu jiwe.. ona video hapo chini alivyo mfanyaga chidbeenz maisha club
Mzee wa kikosi...
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika...
Wakuu habari zenu humu. Nina shida ya nyimbo ya Jide, Nuru. Kwa mwenye link mtandaoni anipe. Nimeitafuta sana mitandaoni bila mafanikio. Kwa mwenye nayo nikimpa hata namba anirushie whatsaap...
Mange amshambulia Lulu juu ya kesi ya kanumba. Inasemekana sababu kubwa ni ukaribu wa lulu na hoyce temu ambaye ni adui wa mange.
Mange alipotoa ushauri wa lulu kukaa nje ya media alitegemea lulu...
Mamlaka ya udhibiti wa Chakula na madawa TFDA jana imetoa tamko la kuzuia utumikaji wa maji ya Lady Jaydee mara moja baada ya taratibu za usajili wa maji hayo katika mamlaka hiyo kutofuatwa...
Bora rais wa wambea soudy tangu mwanzo hakuamini ubuyu huu ulioonesha dalili za uchachu
Msanii keisha katoa post akiwashukuru wana tip top wenzie kwa ushirikiano walioutoa kukamilisha shooting...
Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu...
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana...
Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari...
Kwa habari za kunyapia nyapia zinadai kuwa video vixen mwenye mvuto wa hali ya juu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla Tunda Sabasita amebeba ujauzito wa msanii Diamond Platinums
Wawili hao...
Mbunge wa Mtera mh Lusinde ( Kibajaji ) amesema katika ujana wake alikuwa ni muuza kahawa maarufu pale Kawe ambapo alijulikana kama Stone. Lusinde amesema yeye elimu yake siyo rasmi na kwa hiyo...
Huyu bidada anaitwa Dati baadhi yetu tutakuwa tumemskia saana au kidogo. Anafanya vizuri kimziki nchini Sweden. she's the best anachonifurahisha anaueneza Utanzania kupitia mziki wake hasa kwenye...
This is too much huyu mama jamani kuweza kuishi nae kipaji haswaaa
Walianza na wema akamchambaa,akaja zari alikua anapigwa madongo
Leo zamu ya hamisa kaaah
Au anataka mwanawe amlale mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.