WCB yawa zilipendwa masikini

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Kuna hii lable kubwa nchini ambayo ilikuwa ndo habari ya mujini hapa Tz.Kwa sasa label hii masikini wa Mungu imekuwa zilipendwa.

Ray van hata hajulikani alipo yule dogo mwingine sijui nani yule sijui wanamwitaga kibua yule alikuwa anaimba mapambio naye hasikiki tena.

Hamonize ndo kabisa hata hatumsikii licha ya kutoa ngoma mpya lakini anazidiwa umarufu na Hamorapa ambaye hata hana kazi mpya.

Rich Mavoko naye kaachia ngoma mpya mbovu kulizo zote duniani. Diomond naye kwa sasa kahamia kwenye makiki na mapicha picha ya Zari na Rick Ross.

Yaani hii label inatia huruma sana jamani.

Media ambazo zilikuwa zinaibeba label hii mbeleko zao zimekatika.


LONDON BABY
 
Rayvanny-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Dangote-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Hamonizer-Anafanya vizuri sana!!!!!!
RichMavoko-Ndio usimtanie kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Label hiyo hiyo ya WCB ndio iliyowapa hayo mafanikio.

unakuja unasema label imepoa!!!!!!!!

Kwani ulitakaje Mkuu??????

Halafuuu,hiyo label imepoa ukiifananisha na ipi???????????????????????????????
 
Lebo yao imepoa kiukweli sijui hata kwanini!

Ngoma zao kibao mpaka wamtaje mtoto wa bosi wao aaaaaaghr wanakera sana!

Wabongo wakikuchoka utaomba poo!

Mfano Baraka the prince!!
Nazani wanatakiwa kujipanga vizuri watafute team nzuri ya wataalamu wa mambo ya masoko pia diamond ajitahid Ku epuka kuwa shikafu wanawake
 
Lebo yao imepoa kiukweli sijui hata kwanini!

Ngoma zao kibao mpaka wamtaje mtoto wa bosi wao aaaaaaghr wanakera sana!

Wabongo wakikuchoka utaomba poo!

Mfano Baraka the prince!!
Yaan hao jamaa sijui hata wanaimba kitu gan aisee
 
Back
Top Bottom