Ndio kusema sasa familia ya Diamond ni Amani na Maupendo Tu??

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
305
Kwa mujibu wa mapicha na mavideo yanayozidi kusambaa ni kwamba kwa sasa huko south familia ya diamond ni raha, amani na furaha tu iliyotawala, yale majanga yote kwishilia mbali au waweza sema shetani ameshindwa kuwavuruga,
 
Wanaume tumeubwa kuwatala hawa viumbe.Hata akikushika live kitandani atalegea tuu
 
Back
Top Bottom