Irene Uwoya kufunga ndoa tena Picha hizi zawaacha mashabiki njia panda

kennek

Member
Oct 24, 2017
12
6
Irene Uwoya kufunga ndoa tena au ni movie
Picha hizi kwenye video hii zawaacha mashabiki njia panda

please dont forget subscribe for more videos za matukio mbali mbali
 
Ni wakati gani wanakuwa wanaigiza bongo mavi zao na ni wakati gani wanakuwaga kwenye maisha halisi?
 
Irene anafunga ndoa ya siri nafkiri ni jumamosi hii...na anafunga na dogo janja...hiyo ni uhakika kabisa anaetaka info aje inbox huu si umbea ni fact...nipo karibu yao na najua ila itakua siri mno
 
Thubutuuu mwongo wewe afungi ndoa na dogo janja usitake kuwadanganya watu hapa
 
Niliona mahojiano na Ayo Tv alisema anavutiwa na wanaume kama vile Mh Nape.
Mara Fid Q hata simuelewi anapenda nini
Halafu nakumbuaka alisema anataka kufungua kanisa
 
Katika Mahusiano/Mapenzi Wacheza Filamu wanaongoza kwa kutangatanga. Inasemekana ukicheza sana sehemu flani ya filamu kwa muda unaambukizwa tabia hiyo. (ulimi Una umba). ukiigiza kama mchawi kuna uwezekano wa kuwa, na ukiigiza kama mke anayeachwa achwa unakuwa hivyo.

from: Bible.
 
Irene anafunga ndoa ya siri nafkiri ni jumamosi hii...na anafunga na dogo janja...hiyo ni uhakika kabisa anaetaka info aje inbox huu si umbea ni fact...nipo karibu yao na najua ila itakua siri mno
Sasa mbona umemaliza kila kitu, au huko PM kuna cha ziada kushinda hiki ulichoandika
 
Irene anafunga ndoa ya siri nafkiri ni jumamosi hii...na anafunga na dogo janja...hiyo ni uhakika kabisa anaetaka info aje inbox huu si umbea ni fact...nipo karibu yao na najua ila itakua siri mno
Nilikupinga kwa nguvu zote lakini dah...... Nisamehe ndugu kwa kukupinga bila sababu
 
Back
Top Bottom