Kwa mujibu wa mapicha na mavideo yanayozidi kusambaa ni kwamba kwa sasa huko south familia ya diamond ni raha, amani na furaha tu iliyotawala, yale majanga yote kwishilia mbali au waweza sema...
Danube home wamuandikia hamisa mobetto barua afute video ya tangazo lao kabla hajachukuliwa hatua Kali za kisheria kutokana na dhumuni lake la kujipatia maslahi binafsi na kutaka kuichafua kampuni
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu lmepinda...
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia bomu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro...
Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula 'honey...
leo ndo happy birthday ya mjomba...alizaliwa 27/10/1978
hivyo anatimiza miaka 39.
hebu tupia mstari wake mmoja wa kwenye mashairi yake unaokukosha/unaoukubali sana....
'Usitafute njaa ya kumla...
Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke, sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia...
Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.
Jambo la kushangaza...
Jana ameonekana maeneo ya Moshi Kili Home akipata mizinga kadhaa huku anapiga kelele.
Alikua ananipendeza akiwatia moyo wanawake wenzie.
Kwa unywaji na kelele zile amenidisapoint kabisa. Ni...
Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi...
Producer Daxo Chali ambaye anafanya kazi zake katika studio za MJ Records hapo juzi alitangaza kuacha kumsimami msanii Nini kupitia studio hiyo, lakini stori za sasa zinadai chanzo cha hilo ni...
Habari za kunyapia zinadai wawili hao walikuwa hawapikiki sufuria moja ila walijikaza kidume kutoonesha hadharani hadi pale wenye mji walipowaita na kuyamaliza kwa amani,kwa sasa wanajipanga kuja...
Kama inavyofahamika kuwa mtu anapokuwa na majukumu mengi hususani ndoa huwa anakuwa serious sana.Hii inatokana na mambo mengi yanayomkabiri mtu ikiwemo magomvi ya hapa na pale, ni kawaida kwenye...
Jamaa kala shavu bana, anachukua matukio muhimu kwa niaba ya raisi, pongezi zimwendee kwa jitihada binafsi zilizompelekea hadi akafika huko. Ninamwona raisi jakaya pale ambapo kuna tukio zuri la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.