Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli usio pingika kuna muziki fulani uliokuwa umezoeleka ndio unatakiwa kupigwa radioni na hii ilikuwa ni uniform za Radio zote kana kwamba ilikuwa ni sheria ambayo...
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mabye pia ni kipenzi cha wasanii, Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wasanii kufanya kazi zenye ubora zaidi ili kuweza kushindana na soko la...
Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am...
Wakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi irene alivyoguswa na kifo cha mzazi mwenzie.
Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya mme mtu ukishazaa nae...
Asema inakuwa vigumu kwa watu maarufu kama wasanii kushindwa kuoa kwasababu wanazungukwa na Wasichana warembo kila mara na kutaka kupakua kila amuonaye. kwa mfano kanumba hakupanga kuoa. Pia...
Unaweza kukwepa matone ya mvua lakini siyo kamera za Global Publishers Ltd, zinapoamua kukufanyia kazi, ukibisha waulize Nasibu Abdul ‘Diamond' na mke wa mtu, Irene Uwoya.
Diamond na...
Kwa wanaomfahamu Roma mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakati mzuri saana nitagharamia cost zote isipokuwa za kurudi tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]...
Msanii Afande Sele amesema kitendo cha watu kumwambia kuwa anafanya vibaya kumsema marehemu (Steven Kanumba) ni kitendo ambacho kimepitwa na wakati na mila zisizofaa.
Afande Sele ameyasema hayo...
Baada ya Band ya Msondo Ngoma kutaka ilipwe shilingi milioni 300 na kundi la WCB kwa kutumia bila ruhusa vionjo vya wimbo wake kwenye wimbo wa “Zilipendwa” Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa...
SNURA: Chochote ukiamua utaweza hata mm nikiamua naweza tena sana bado tu sijaamua.....
Kwanza haya yalikua ni mazoezi tu,,,,,,unajua uswahilini kwetu siku hizi shughuli bila kibao kata hainogi...
ni tukio jingine lililosubiriwa sana na Watanzania pia wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo hizo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA)
Nandy
Good news ni...
Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.Ambapo Wakili wa serikali ameihairisha kesi hiyo mpaka Novemba...
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na...
Kama ukiwa makini na mfuatiliaji mzuri sana wa Vyomba vya Habari hasa vya Tanzania na ambavyo kwakweli kwa sasa ndivyo vinafanya vizuri vya Clouds fm na Efm utagundua ya kwamba wanachokifanya sasa...
Ile ndoa ya staa wa bongo movie Irene Uwoya aka Oprah imevunjika. Ndoa hiyo imedumu kwa muda wa miezi 18 tu. Inasadikiwa ndoa hiyo imegharimu Tshs 80,000,000.00.
Hebu cheki mahojiano haya kati ya...
Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameua gumzo na kushangaza watu baada ya kuona mahali anaposihi, amesema ni kweli sehemu ambayo anaishi kwa sasa hapafanani na yale anayoyafanya, lakini hata...
Muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya amedai wanaume wenye sura ambazo hazina mvuto wanakuwa wanajituma sana kunako 6 x 6 kwa kuwa wanaogopa kuachwa, amesema wanaume wenye sura za kike muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.