Kikwete awapa neno zito wasanii kuhusu kufanya kazi zenye ubora


miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,498
Likes
2,553
Points
280
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,498 2,553 280
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mabye pia ni kipenzi cha wasanii, Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wasanii kufanya kazi zenye ubora zaidi ili kuweza kushindana na soko la kimataifa, la sivyo watabaki hapa hapa bongo.

Jakaya Kikwete ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye ghfala ya uzinduzi wa Television Mpya ya Jason ambayo itakuwa inaonyesha filamu za kitanzania, na kusema kwamba ni wakati muafaka sasa kwa wasanii kuacha kulia lia kutaka serikali iwape msadaa, na badala yake wafanye kazi zenye ubora zaidi.

“Kama anavyosema Waziri isiwe sasa scene' ni hizo hizo tu, msilalamike tulindeni, mtabaki kibongo bongo tu, nyinyi mkitaka mtoke lazima muende beyond bongo, lazima muwe na product nzuri, na product nzuri mnaipata mkiacha ushindani, muhimu ni kusaidiwa mshindane vizuri, basi”, amesema Jakaya Kikwete.

Pamoja na hayo Jakaya Kiwete amesema amefurahishwa na muenendo wa tasnia ya sanaa ya filamu, ambayo kwa sasa imetoa ajira kwa watu milioni 6.

jakaya-kikwete-3.jpg?itok=eLDfikwH&timestamp=1510933600

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
6,082
Likes
9,903
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
6,082 9,903 280
Sasa kwamfano yule msanii mnaempenda kuliko hata wapenzi zenu alipotuimbia kale kawimbo eti "zilipendwa" si kurudishana nyuma huko?

Tutashindana vipi ki intaneshno kama nyimbo ndio hizo?
 
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
12,285
Likes
7,458
Points
280
Age
31
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
12,285 7,458 280
Ai lavu yu jei kei
 
Ibada ya kwanza

Ibada ya kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
3,260
Likes
1,377
Points
280
Ibada ya kwanza

Ibada ya kwanza

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
3,260 1,377 280
waendelee na muvi zao za wanaume kujichubua,mahereni harafu wanatuonyesha maghorofa ya bandari,ppf na bot harafu wanataka tuwasaport kwenye huu upuuzi.
 

Forum statistics

Threads 1,215,718
Members 463,375
Posts 28,557,532