Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya amedai wanaume wenye sura ambazo hazina mvuto wanakuwa wanajituma sana kunako 6 x 6 kwa kuwa wanaogopa kuachwa, amesema wanaume wenye sura za kike muda wamekuwa wakitumia muda mwingi kuwaza kuhusu uzuri wao na sio kumridhisha mpenzi