Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wameimba live wakiwa wanahojiwa asubuhi kwenye kipindi clouds fm. Vijana wanajua kusema kweli
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salamu. Hivi hili neno Kipusa siku hizi limebadilika maana yake?. Nifahamuvyo mimi nifahamuvyo maana yake kwa mujibu wa TUKI ni: .kipusa nm vi- [ki-/vi-] rhino horn. 2 (sio rasmi) beautiful...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Watu wanasemaga Hamisa ni mnafiki nikajua wanamsingizia, jana ndo nimeamini, huu ukaribu wa Hamisa na mama Kanumba umeanza lini? Hamisa alimpost Lulu akiwa jela na kumpa pole, leo anaonekana na...
6 Reactions
51 Replies
11K Views
Ukweli wasanii wengi ni feki kuanzia lifestyle zao, uvaaji, maadili yao na pia muziki wao wa kuiga nchi za nje na inafikia hatua wanaiba tune,beat hadi nyimbo nzima wanaibadili kwa kiswahili ili...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
MICHORO ya mwilini inayofahamika kama ‘Tattoo’ imekuwa ikitumiwa na watu mbalimbali katika kuhifadhi kumbukumbu ya vitu ambavyo mchorwaji anakuwa amavidhamiria kuviweka kwenye mwili wake. Tattoo...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Mrembo mwenye shepu ya kuvunja chaga wa bongo Sanchoka amesema katika malezi yake hajawahi wala hajui namna ya kupika ugali. Sanchoka anasema ugali kula najaribu ila kupika sijui kabisa Mrembo...
3 Reactions
92 Replies
17K Views
Katika siku za hivi karibuni kuna picha ya kijana ambayo inaenea mtandaoni wakidai kuwa ni dk shika enzi zake alipokuwa angali kijana ,huu ni upotoshaji mkubwa sana tena mbaya zaidi umefanywa na...
4 Reactions
57 Replies
13K Views
Huku akiendelea kujitibu ugonjwa wa Kansa msanii @bankywellington afunga ndoa ya kimila na mpenzi wake @adesuaetomi
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kila wimbo anaotoa nandy mkali, anayemwandikia nyimbo na melody anamjulia maana hakosei. Nimesikiliza ngoma yake mpya ya kivurugwe kwakweli nzuri. Wajua unaweza kuwa wajua kuimba una sauti nzuri...
4 Reactions
40 Replies
12K Views
Habari wanajukwaa. Wasanii nguli walio pia wanasiasa, Joseph Haule na Joseph Mbilinyi wanapambanishwa ndani ya radio one nani zaidi jumapili hii. Muda huu watu wanapiga simu kutoa maoni nani...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Ruge, sikia kilio chetu Sisi wapenzi wa Fiest tunahitaji Dr Shika awepo siku ya Fiesta. Mnazima taa, muziki unazimwa. Panakuwa kimyaaaaaaaa Mkija kuwasha taa raia wanamuona Dr Shika juu ya...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimesikitika sana jana nilipokuwa namsikiliza mama kanumba akiwa anahojiwa na kwisa na soudy brown katika kipindi cha shilawadu...akidai kuwa Lulu alishawahi kumuita "kubwa jinga" na pia kufanya...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa ufupi Asema atakuwa huru baada ya kutumikia adhabu hiyo kwa sababu ni mipango ya Mungu By Kalunde Jamal, Mwananchi Imeelezwa kuwa baada ya msanii Elizabeth Michael kusomewa hukumu ya...
11 Reactions
131 Replies
16K Views
Nilifikiri vijana kama Barnabas wameshafunguka kimaisha na has a kuhusu fashion. Nilichokiona kama hakikufanywa kwa makusudi basi ni ushamba wa hali ya juu kwa B boy. Kavaa kitop cha kike, au ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani kwani hatujui kuwa mastaa wengi wa kike bongo walikua na ndoto ya kuzaa na diamond? Sio WEMA, UWOYA, LULU, JOKATE, WOLPER, TUNDA, AUNTY EZEKIEL na mastaa wengine kibao walikua wanalilia...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasanii Justin Bieber na Selena Gomez wathibitisha kurudiana baada ya kusambaa picha zao wakiwa wanabusiana.
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli...
10 Reactions
47 Replies
9K Views
Naona Hamisa anamrushia dongo aliyekua laaziz wake kupitia wimbo mpya wa Nandy uitwao KIVURUGE. Mrembo huyo amekua akirusha audio clip ya wimbo huo kwenye ukurusa wake wa instagram kuonyesha...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Pole Irene Uwoya Upate Nguvu ya kuyashinda Majonzi. Tanzania ilizipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana Katauti ambapo mazishi yake...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wasalaam wana jamvi! Ni ukweli usio pingika kuna muziki fulani uliokuwa umezoeleka ndio unatakiwa kupigwa radioni na hii ilikuwa ni uniform za Radio zote kana kwamba ilikuwa ni sheria ambayo...
10 Reactions
208 Replies
53K Views
Back
Top Bottom