Msanii wa Bongo Fleva, Dully Sykes amewalalamikia wasanii wadogo kiumri kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa kukosa upendo na umoja baina yao kwa kutokupeana sapoti kwenye kazi zao.
Dully amesema...
Kweli dunia ina mambo na vijambo leo nmeanzisha thread watu wapost pic zao Evelyn Salt akapost picha iliyonistua huwezi amini lakini amini usiamini Evelyn Salt ni star mwenye pesa chafu huko...
Baada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Maria Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya...
NYOTA wa muziki nchini Nigeria ambaye alikuwa anaunda kundi la P-Square, Peter Okoye, ameweka wazi kuwa yeye si chanzo cha kundi hilo kuvunjika.
Kundi hilo kwa sasa limevunjika kwa madai kwamba...
Ni kweli Nyashinski ameanza kulewa umaarufu? Hiko ndio kitu kinachoonekana kwa msanii huyo kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki wa nchini Kenya.
Tuhuma hizo zimeibuka kupitia gazeti maarufu...
Wizkid amefanikiwa kupata mtoto wa 3 wa kiume aliezaa ma manager wake anaesimamia kazi zake upande wa ulaya na marekani Jada pallock.
Wizkid alikuwa na watoto 2 wakiume na mama tofauti huyu wa...
Habari za mchana wana Jf ,
Mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa Aslay umetoka sijui kautoa...
Wale mliokuwa mkijiuliza juu ya Diamond kijivinjari na Hamissa katika jiji LA Dubai wiki iliyopita nadhani mnaelekea kupata majibu ya maswali yenu!
Chanzo: Ukurasa wa Instagram wa Clouds
Kundi la wasanii wa muziki wa Tanzania kutoka visiwani Zanzibar, Off Side Trick, wamesababisha kufungwa kwa tamasha la utamaduni la Lamu huko Mombasa nchini Kenya, baada ya kucheza mtindo usiofaa...
Kama mnakumbuka mwaka jana mida kama hii kulikuwa na kimuhe muhe cha tuzo za eatv, lakin kwa mwaka huu mpk mida hii sijasikia fununu zozote kuhusu hizi tuzo, au mwaka huu hazipo.?
Meneja wa msanii maarufu Afrika Mashariki Diamond Platnumz, Sallam aliohojiwa kama kuna nyimbo yeyote itatolewa karibuni.
Akasema kuna collabo ya diamond na wizkid ila hakutaja jina la wimbo. Na...
Hivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana...
Mtanange huu ulianza hapo jana pale ambapo TvE/Efm walipotoa tangazo la Ssebo kuzungumza leo na Clouds nao wakapandisha Ruge kuzungumza muda uleule wa Watani wao wa Jadi!
Nimepata butwaa kusikia...
Wakuu jana ilikua ni siku ya kizaliwa ya msanii kutoka kundi lililofahamika kama TMK 'Amani Temba' maarufu kama Mh Temba,katika kuufahamisha umma kuhusu siku yake hiyo pendwa alisikika kwenye...
Jana Hamisaa alionekana ndani ya Pipa from Dubai to Tanzania tayari kwa uzinduI wa filamu aliyoshiriki kuigiza ya Zero P. Hivi kwa sasa Diamond yuko Pande zipi za dunia? Naomba nijibiwe jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.