Gigy Money: Nimetoka kwenye mafuriko, hivyo imenilazimu kuishi nyumba yoyote

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252

Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameua gumzo na kushangaza watu baada ya kuona mahali anaposihi, amesema ni kweli sehemu ambayo anaishi kwa sasa hapafanani na yale anayoyafanya, lakini hata hivyo hajutii hilo.

Akiongea kwenye 5SELEKT ya East Africa Television, Gigy Money amesema nyumba ambayo imeonekana anaishi sasa amehamia hivi karibuni baada ya nyumba aliyokuwa anaishi awali kujaa maji na kusomba vitu vyake, kutokana na mvua zilizoleta mafuriko hivi karibuni.

Gigy Money ameendelea kwa kusema kwamba kitendo cha mafuriko kuzsomba vitu vyake kimempa stress kwani imemlazimu kuanza moja kwenye maisha, pamoja na kutafuta nyumba yoyote ile ili aanze maisha upya.

“Unajua nimetoka kwenye mafuriko, nyumba niliyokuwa naishi mwanzo maji yalijaa yakasomba vitu vyangu vyote, stress niliyonayo mimi mwenyewe ndo najua, yani naanza maisha moja ndio nikatafuta nyumba nikapata hapa, pale ninapokaa hata sistahili kukaa pale ndio naanza moja na mimi binadamu”, amesema Gigy Money.

Hivi karibuni kumeibuka minong'ono kwa baadhi ya watu wakionesha kushangazwa na kitendo cha Gigy Money kuishi kwenye nyumba ambayo haieleweki wakati mitandaoni anajitapa kuvaa vitu vya gharama kubwa zaidi.

EATV
 
Huyo ndio anaishi hpo cku zote hiyo issue ya mafuriko ni katooo tu,wauzaji wengi wanaishi kwenye magetto
 
yaani nimeangalia hyo clip nimemuona mpumbavu sana huyo binti ....hana adabu hata kidogo ...watanzania mabinti kama hawa huku arusha wangeshakula fimbo 70 kwa uchizi kama huo
 
KUANZA UPYA MPAKA AKUSANYE ZA KUTOSHA SI LITAKUWA GARI LA MKAA NA TAYARI KWASASA LIMEAANZA TRIPU ZA KIBITI KUBEBA MBAO NA BAMIA ZA KARIAKOO.HALAFU ZILE NYWELE ALIZOKUWA ANASEMA ANANUNUA ZA LAKI SITA INA MAANA ZITAKUWA ZIAWEKWA WAPI KWANI NYWELE ZITAKUWA NA THAMANI KULIKO KODI YA NYUMBA.INABIDI AKAMSAIDIE DR SHIKU WAKAPANGA GHETO MOJA
 
Inavyoonekana hizo nywele nazo zimesombwa na mafuriko. Duhh, vijana wana majambo, siamini kama ni yeye, hivi ule msambwanda na wenyewe umesombwa na mafuriko!!??
 
Mi nachojiuliza huyu Giggy na kuuza papa kote huko anaishi hivi je asipouza papa ataishije?
 
Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameua gumzo na kushangaza watu baada ya kuona mahali anaposihi, amesema ni kweli sehemu ambayo anaishi kwa sasa hapafanani na yale anayoyafanya, lakini hata hivyo hajutii hilo.

Akiongea kwenye 5SELEKT ya East Africa Television, Gigy Money amesema nyumba ambayo imeonekana anaishi sasa amehamia hivi karibuni baada ya nyumba aliyokuwa anaishi awali kujaa maji na kusomba vitu vyake, kutokana na mvua zilizoleta mafuriko hivi karibuni.

Gigy Money ameendelea kwa kusema kwamba kitendo cha mafuriko kuzsomba vitu vyake kimempa stress kwani imemlazimu kuanza moja kwenye maisha, pamoja na kutafuta nyumba yoyote ile ili aanze maisha upya.

“Unajua nimetoka kwenye mafuriko, nyumba niliyokuwa naishi mwanzo maji yalijaa yakasomba vitu vyangu vyote, stress niliyonayo mimi mwenyewe ndo najua, yani naanza maisha moja ndio nikatafuta nyumba nikapata hapa, pale ninapokaa hata sistahili kukaa pale ndio naanza moja na mimi binadamu”, amesema Gigy Money.

Hivi karibuni kumeibuka minong'ono kwa baadhi ya watu wakionesha kushangazwa na kitendo cha Gigy Money kuishi kwenye nyumba ambayo haieleweki wakati mitandaoni anajitapa kuvaa vitu vya gharama kubwa zaidi.

EATV

kweny hicho chumba chake naona vijana watatu wamevua mashati na wamevaa bukta.. je ndio wanampiga mtungo kwa pamoja(wanamtumia at the same moment!!!)
 
Back
Top Bottom