Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,259
Likes
5,101
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,259 5,101 280
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na kumwambia awe na subira na kuwa atavumilia yote ya dunia lakini atakuwa mwane mwanzo mwisho mapaka anaingia kaburini na kusisitiza alikuwa akimpenda sanavlcsnap-2017-11-15-15h28m40s990-png.631273
 
LUCKY BANANA

LUCKY BANANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
457
Likes
194
Points
60
LUCKY BANANA

LUCKY BANANA

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
457 194 60
kwani ndiku alioa tena ?
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
13,902
Likes
5,537
Points
280
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
13,902 5,537 280
Ndiku naye alikurupuka unaoaje mtu humjui ila karma haiwaachagi watu salama, hatujui naye mama mtoto wake wa kwanza alimwachaje
Tamaa ya kuoa wanawake wazuri, ila irene uwoya ana gharama kubwa ya kulipa, hawezi kuwa na amani maisha yake yote karma is a bitch
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,530
Likes
33,709
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,530 33,709 280
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na kumwambia awe na subira na kuwa atavumilia yote ya dunia lakini atakuwa mwane mwanzo mwisho mapaka anaingia kaburini na kusisitiza alikuwa akimpenda sanaView attachment 631273
Hivi kati ya Mama Mkwe na Mwenye Mume nani anapashwa Kulia na Kusikitika sana? Anyways R.I.P Ndikumana na poleni nyote mlioguswa na Msiba huu mzito kabisa.
 
Angry Bird

Angry Bird

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2016
Messages
514
Likes
469
Points
80
Angry Bird

Angry Bird

JF-Expert Member
Joined May 3, 2016
514 469 80
Mama anaona mbali, anahisi mwanae anaweza patwa na majanga, hasa kama alikufa kama hawapo in good terms. Au labda analia mjukuu atatunzwa na nani?

Hivi kati ya Mama Mkwe na Mwenye Mume nani anapashwa Kulia na Kusikitika sana? Anyways R.I.P Ndikumana na poleni nyote mlioguswa na Msiba huu mzito kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,213,862
Members 462,337
Posts 28,493,125