Fid Q afunguka haya baada ya Irene Uwoya kusema anapenda wanaume wenye sura mbaya

Haaaaà
Huyo mwanamke muongo sana.

Watu hujipa moyo pale wanapokosa ama kukutwa na ukame.

Hata Jennifer Lopez aliwahi kusema haangalii sura ya mwanaume Bali anavutiwa na "manly looks" a.k.a macho ya mwanaume.

Sasa nikajua ana justify kwakua mume aliezaa naye hakua na uhendisamu hata wa kulazimisha.

Amesahau alivyotoka na akina Chris Juddy, Ben Afleck.
Kimsingi wanawake wanaangalia sura sana ila inafika wakati Fulani wanazidiwa na nguvu ya ngawira na jeuri ya mwanaume Husika.

..Women are beautiful liers..
 
Kimsingi, Fid hastahili kujihesabia wala kuhesabiwa katika wasio uza sura. Jamaa ashawahi kuwa televised akifanyiwa scrub au facial nadhani, so nahisi pia ashajaribu kuonana na dermatologist(s) kurekebisha ule uso. Kuna video yake moja alikula wigi, na make up design.
 
MAJI YA JIONI hayo....siku zote SAMAKI wanashuka BEI...huo ndy muda wetu MUJAARABU na akina sie KUTAFUNA BUMUNDA...sasa hadi SURA mbaya SIO KIGEZO CHA KUKOSA PAPUCHI?kweli maji ya jioni...samaki bwerere....
 
""Usiache ulichotaka maishani ghafla na kufuata kile ulichotamani""

Fid Q huwa sipendagi sauti yake anapoongea


Bana bana akishaiweka kwenye mistari, hapo ndio utashindwa kutofautisha maji yanayobeba meli na maji yanayobebwa na bilauri
 
Back
Top Bottom