Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu', Lucresia Karugila ‘Mama Lulu' ametoa...
Baada ya Hukumu ya Miaka miwili nini hatima ya Mkataba wa Lulu na Azam,,,,,..... Au
------
Chaneli ya Sinema Zetu inayopatikana katika Televisheni ya Azam, leo imetangaza rasmi uzinduzi wa...
Aslay ana kipaji kikubwa sana.
Kwanza ameweza kutoa hit songs mfululizo na zote zikapendwa yani akipanda jukwaani mashabiki wanaimba wenyewe.
Ila tatizo ninaloona mbeleni linaweza kumuathiri, ni...
Kwema wana,
Yule mwanamziki pekee wa kimataifa panapo ardhi ya Nyerere, Diamond Platnumz yupo jikoni akiaanda ngoma nyingine na mkali kunako ardhi ya Trump, USA Baby.
Mtakumbuka kama wiki mbili...
KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kutoa maneno ya kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, ni dalili za msichana huyo kuitafuta laana.
Hivi...
Leo nataka tukate mzizi wa fitina kati ya Tunda na Elizabeth Michael Lulu nani kisu zaidi kuliko mwingine
Picha ya pamoja Tunda na Lulu
Lulu
Tunda
Lulu akiwa kitandani
Tunda akiwa kitandani...
Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema maombi na sala zimekua zikitikisa nyumbani kwa msanii Elizabeth...
Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu' hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni hiyo hapo juu ikiwa kama ni "throwback thursday" (TBT)...
habari wadau..
kesho ni nov 13 ambayo jaji atatoa hukumu kwa lulu kutokana na kesi yake..
kiukweli namuonea huruma sana...
na huu ni uzi special wa kumtakia heri kwenye kesi yake hukumu isiwe...
huyu legendary yuko wapi maana sijamsikia mwaka huu..
Jamaa anajua ile ngoma yake ya 2012 ya miss Tanzania mpaka leo naisikiliza naiona kama mpya.
Achilia mbali zile ngoma zake za zamani ile album...
Nitoe ombi kwa wale wote walotumia ubinifu wa Dr Shika wajaribu kurudisha sehemu ya walichokipata kwa ajili ya kumsapoti huyu tajiri yetu matata.
Baadhi ya watu hao ni Joti na kava lake la simu...
Serikali yafungia rangu za midomo za Mwanadada Wema Sepetu zinazojulikana kama "Kiss".
> Serikali imechukua uamuzi huo kwa kile kinachoeelezwa kuwa nimeshindwa kikidhi vigezo zilivyokuwa...
Wadau, hii imekaaje?
Habari zinazosambaa kuwa Diamond kampachika mimba Tunda ni za kweli? Na huyu msanii naona sasa anapotea na kuzazaa hovyo sio uanaume.
Hata kama una hela ya kuwatunza kwanza...
Habari zenu wadau
Mie kwa upande wangu nafikiri huyu dada ake diamond hana kipaji cha kuimba labda anacho cha kucheza uchi instagram.. kiufupi wasafi waache kufanya kazi kiundungu huyu dada hajui...
Ni watu ambao mara kwa mara nimekuwa nikiwafuatilia kila mmoja katika jukwaa analolitumia na kugundua ya kwamba wawili hawa wana vitu vingi vya kufanana japo pia wana ambavyo wanatofautiana.
Ni...
Hii ni moja ya nyimbo bora kabisa kuimbwa , ina mda wa miezi nane tokea itolewe na kundi la chainsmokers waliomshirikisha coldplay inaenda kwa jina la something just like this
Enjoy[emoji116]
Mmh!! Domo na mama tukinao mbona mnapa tununu presha hivi? Juzi tu hapa mwenzenu maralia ilimpanda kichwani, sasa hivi naona itahamia kwenye makalio, maana sio kwa kumrusha roho huko, Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.