Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jamaa alikuwa live kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, katema madini ya kutosha. Yote tisa, kumi ni kuhusu "Goma lake jipya" ambalo ndani yake imekaa miamba kama...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Mwanafalsafamweusi ONDOKA KONDE BOY Kuondoka wa @harmonize_tz kwa @diamondplatnumz ni sahihi kwa sasa na hizi ni faida atakazo zipata 1.Anaenda kuwa mshindani namba moja wa @diamondplatnumz...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa...
13 Reactions
134 Replies
35K Views
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi...
6 Reactions
100 Replies
16K Views
Habarini za muda huu wana jf. Imefika wakati sasa wa nyumba ya WCB kupata miji mingine, watoto wameshakua vya kutosha haifai waendelee kuishi na baba yao wakati wote wananyoa ndevu. Diamond...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Mlio karibu na Diamond mshaurini aache kuimba live wakati wa show. Hawezi kabisa, sauti yake inakuwa nje ya tone kabisa ya music. Nimefuatilia comments za warundi kufuatia show yake Bujumbura...
6 Reactions
60 Replies
26K Views
Hapa nitataja makusudi au Mchekeshaji mmoja mmoja 1. Carpoza na Oka Martin Hawa ni Wachekeshaji wanao tisha kwa sasa na tuseme tu ndio namba moja kwasasa. Hawa jamaa kwa sasa wamekuja na...
7 Reactions
87 Replies
17K Views
Leo sallam amealikwa kwenye interview kwenye kipindi pendwa Cha block89 Cha wasafifm kinachoongozwa na wakali Kama jonijo Aliyah mtu imara na mdada mmoja mwenye kiingereza kingi kitachoanza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nimeona sehemu jarida LA Forbes limemuorodhesha nature kwenye top ten... kuna ukweli hapooo???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' kuwa alichoropoa mimba zake mbili , mtangazaji wa Radio E - FM, Penniel Mungilwa ' Penny ' ameibuka na kujibu...
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ' Diamond ' Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa. Penny alitoa tamko...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani? Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi...
1 Reactions
50 Replies
10K Views
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz. Hii ni baada ya kubadirisha bio...
2 Reactions
131 Replies
22K Views
Dogo ameigiza kama Tupac kwenye movie inayohusu maisha ya Tupac Shakur itwayo " All Eyes on me" . He is a typical Tupac look alike. Kwenye interview yake anasema his dady ( who is a.Music...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Fella anasema habari za Harmonize kuondoka Wasafi hata wao wanazisikia mitandaoni. Ila kama anaona amekuwa basi wao hawawezi mzuia kutoka Wcb. Amemuomba aage akiondoka.
3 Reactions
262 Replies
32K Views
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani? Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu? Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize...
3 Reactions
112 Replies
12K Views
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
5 Reactions
624 Replies
128K Views
Habari za muda wakuu, Katika kusikiliza na kusoma lyrics za ngoma ya Diamond Platinumz Ft Fally Ipupa inaonekena aliamua kufikisha ujumbe kwa mzazi mwenzie huyo. Tuanze hapa "Una pesa kama...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom