Hivi kuna kaukweli kwenye huu ubuyu

Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2019
Messages
213
Points
1,000

Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2019
213 1,000
Nasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo alikuwa anawaweka mjini (anawapa hela ya kula) ukiingia insta Leo kwenye peji ya nansii misumari huwez amini kuwa hawa watu juzi juzi walikuwa wanakosaga hata hela ya kula jins wanavopost Mara Leo wko London kesho wako Paris, maselfie kwenye ndege etc

Ijulikane kuwa nansii misumari ni shost ake mke wa the late machache/k ntaipata lini
 
Lignocaine

Senior Member
Joined
Dec 12, 2018
Messages
179
Points
500

Lignocaine

Senior Member
Joined Dec 12, 2018
179 500
Nasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo alikuwa anawaweka mjini (anawapa hela ya kula) ukiingia insta Leo kwenye peji ya nansii misumari huwez amini kuwa hawa watu juzi juzi walikuwa wanakosaga hata hela ya kula jins wanavopost Mara Leo wko London kesho wako Paris, maselfie kwenye ndege etc

Ijulikane kuwa nansii misumari ni shost ake mke wa the late machache/k ntaipata lini
Kuna level za umaskini lakin japokua Uzi wako haujakaa kimtelezo(unapiga chenga) kuna mtu akikosa hela anatembelea tako la nyani hili hili ambalo ndo wanaojiona wana hela wanatuburuzia nalo mitaani
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,899
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,899 2,000
Mimi huu ubuyu niliupata long way back kuwa yule lukewarm alikuwa anawekwa mjini na ex-wife wake. Baada ya kumpata miss Africa ex wife alikata mfereji wa noti ( hata mimi ningefanya hivyo).

Bibie ninasikia gas inaweza kumuishia akaingiza jiko la mkaa ndani majirani wasijue kuwa mchicha unapikiwa kwenye mkaa.

Ninachomsifu ni kuwa ameikubali hali ya lukewarm.
 
mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
1,448
Points
2,000

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2016
1,448 2,000
Nasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo alikuwa anawaweka mjini (anawapa hela ya kula) ukiingia insta Leo kwenye peji ya nansii misumari huwez amini kuwa hawa watu juzi juzi walikuwa wanakosaga hata hela ya kula jins wanavopost Mara Leo wko London kesho wako Paris, maselfie kwenye ndege etc

Ijulikane kuwa nansii misumari ni shost ake mke wa the late machache/k ntaipata lini
style yako ya uandishi nimeipenda
 
Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,818
Points
2,000

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,818 2,000
Huo ndo urafiki sasa wa kusaidiana shida na raha.
Mara ya mwisho kumuona luka ni kwenye mazishi ya mzee machache alivaaa black suit na alikuwa mmoja wa wasimamizi, by the way mimi umenikumbusha tu mazishi ya mzee wale walemavu wa viungo walivyokuwa wanalia kwa uchungu.
Yale mazishi yalinipa funzo moja kuwa nitakapoondoka nikimtoa mwanangu ndugu marafiki nani wa mbali niliowagusa wakaonililia na kunikumbuka?
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
2,048
Points
2,000

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
2,048 2,000
Lukas wakati anafunga Ndoa na Nancy Sumary alikuwa Managing Director wa Bandari kavu inayoitwa DAR ES SALAAM INLAND CONTAINER DEPOT (DICD) sasa sijui kwa nafasi hiyo alikuwa anakosaje hela ya kula.
 
Forum statistics

Threads 1,355,122
Members 518,611
Posts 33,101,041
Top