Hii sasa Harmonize ni too much

Hii sasa Harmonize ni too much

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,096
Reaction score
34,231
Kiukweli harmonize hatofanikiwa kimuziki kamwe hata amalize waganga na waganguzi huko chitoholi ila suala la kupiga hatua ya kimuziki halitawezekana asilani abadani.

Jamaa hana ubunifu kabisa ,anamuiga Diamond kwa kila kitu ,anatembelea sana nyota ya diamond ila haambulii kitu.

Embu angalia hapa anaiga mpaka idadi ya following [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii haiwezi kuwa coincedence hata kidogo.
20190909_113527.jpeg
20190909_113325.jpeg
 
Kiukweli harmonize hatofanikiwa kimuziki kamwe hata amalize waganga na waganguzi huko chitoholi ila suala la kupiga hatua ya kimuziki halitawezekana asilani abadani.

Jamaa hana ubunifu kabisa ,anamuiga Diamond kwa kila kitu ,anatembelea sana nyota ya diamond ila haambulii kitu.

Embu angalia hapa anaiga mpaka idadi ya following [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii haiwezi kuwa coincedence hata kidogo.View attachment 1202426View attachment 1202427
umeshakunywa uji??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom