Nauliza kuhusu mahusiano ya wanawake wa Bongo Movie kutoolewa

ryana fan

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Messages
983
Points
1,000
ryana fan

ryana fan

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2018
983 1,000
Habari za asubuhi wana JF?

Baada ya salamu nijikite kwenye mada husika.

Naombeni kuuliza pia kama wahusika wapo humu wanisaidie.

Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa ndugu zangu na si kwa ubaya bali kwa mema tu.

Maswali niliyojiuliza yanahusu maswala ya ndoa na mapenzi ya dhati kati ya hawa mastar wetu wa tanzania au waigiza muvi wa bongo na wasanii wa music.

1. Je, ni kwanini hawa wasanii hususani wa kike hawaolewi? Mfano. Wema sepetu, Irine Uwoya, Jackline Wolper, Blandina chamila, anti ezekiel, Lulu Michael, Diva, Lulu, Hamisa Mobeto, Gigy money, Mdee, Jenifer Odama, yule aliyeigiza na kanumba Dengerous Desire nimemsahau kwa jina na wengine wengi unaweza kuwataja.

2. Je, ni kweli hawa ndiyo wanaosalitiwa katika mapenzi? Na kwanini wao tu ndiyo wasalitiwe? Kila siku wao ndiyo husalitiwa katika mapenzi why?

Nb. Hawa baadhi ya wasanii niliyowataja wanajiita kio cha jamii je, kio chao ni nini kwa jamii kama hawaoneshi mfano wa kuigwa na jamii?

3. Au ukiwa msanii huruhusiwi kuolewa ?

Haya ndiyo maswali yanayoumiza kichwa changu.

Nawasilisha.
 
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
1,823
Points
2,000
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
1,823 2,000
Pole sana kwa kuumiza kichwa kwa kuyawazia maisha ya wenzio. Sina nia mbaya, ila ningekushauri kubadilika kuanzia sasa na hivyo uanze kuumiza kichwa zaidi kwenye kuyawazia maisha yako! Anza kuwaza unataka uwe mtu wa aina gani baada ya miaka kadhaa, uwe na hela kiasi gani, watoto wako wasome shule gani, uwe na cheo gani kazini/kwenye jamii, nk.

Usijiumize kabisa kichwa chako kuwawazia hao wasanii ambao hawajaolewa! Maana unaweza ukakuta wenyewe wameridhika na hayo maisha waliyojichagulia na huku wakiingiza mkwanja wa kutosha kupitia huo umaarufu wao, lakini wewe mwenzangu ukiendelea tu kutaabika na maisha yako.
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,713
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,713 2,000
Maswali mazuri na fikirishi kwa wasanii wetu.

Wapo wachache wanaojua kutofautisha usanii na maisha halisi, nao ni wale ambao wapo na waume zao na wametulia.
Ila hata wa kiumeni ni hali moja tu.
 
ryana fan

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Messages
983
Points
1,000
ryana fan

ryana fan

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2018
983 1,000
Pole sana kwa kuumiza kichwa kwa kuyawazia maisha ya wenzio. Sina nia mbaya, ila ningekushauri kubadilika kuanzia sasa na hivyo uanze kuumiza kichwa zaidi kwenye kuyawazia maisha yako! Anza kuwaza unataka uwe mtu wa aina gani baada ya miaka kadhaa, uwe na hela kiasi gani, watoto wako wasome shule gani, uwe na cheo gani kazini/kwenye jamii, nk.

Usijiumize kabisa kichwa chako kuwawazia hao wasanii ambao hawajaolewa! Maana unaweza ukakuta wenyewe wameridhika na hayo maisha waliyojichagulia na huku wakiingiza mkwanja wa kutosha kupitia huo umaarufu wao, lakini wewe mwenzangu ukiendelea tu kutaabika na maisha yako.
Sawa sawa
 
sayoo

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Messages
2,419
Points
2,000
sayoo

sayoo

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2014
2,419 2,000
Kwan uwoya c aliolewa na dogo janja au ameshaachika
 
JF Member

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
2,967
Points
2,000
JF Member

JF Member

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
2,967 2,000
Ukiowa msanii ni sawa na kuficha embe kwenye mfuko wa shati. Lambda aamue kuacha tu, kazi zao zimekaa kistarehe sana na hivyo huwafanya waingiwe na tamaa. Ukipwa na pesa ya maana oa angalau utamficha vizuri,
 
P

peedee dise

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Messages
203
Points
250
P

peedee dise

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2019
203 250
Mtoe lulu kwenye hiyo orodha
 
BOMBAY

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,295
Points
2,000
BOMBAY

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,295 2,000
Kuwa mwanamke+Umaarufu=Dhaifu +Madhaifu= Kifo na usinginzi
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
2,124
Points
2,000
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
2,124 2,000
Uwoya alishaolewa na Janjaro
Aunt ezekiel ashaolewaga na Jack pemba
Lulu ashavalishwa Pete na majizo

Na kwanini hawa hawaoi usihukumu upande mmoja
1;Ray kigosi
2;Dully syks
3;Jay moe
4;TID
5;Joh makini
6;
 

Forum statistics

Threads 1,336,326
Members 512,582
Posts 32,534,663
Top