Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ndugu Moderator, Invisible naomba kubadili ID yangu. Kuna mjinga mmoja na anafuatulia kila ninachopost ananitumia screenshots. Sipo comfortable na hili. Natanguliza shukrani Wako Mla vitumbua
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mchekeshaji Kevin Hart na wenzake wawili wamepata ajali ya gari mapema Jumapili Septemba 01, huko Calabasas, California baada ya dereva kukosa udhibiti wa gari hilo Hart na dereva Jared Black...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Siku ya jana ilikuwa ni furaha kuu kwa Mhe Sugu baada ya kufunga ndoa takatifu huko Mbeya, lakini upande wa pili wa X wake Faiza Ally ni kilio
2 Reactions
86 Replies
17K Views
Wakuu natumaini mu wazima kabisa nimeisogeza kwenu kwa kifupi historia ya mwanamziki Celine Dion. Celine Marie Claudette Dion alizaliwa March 30 1968 huko Quebec Canada alianza kupata umaarufu...
13 Reactions
61 Replies
12K Views
Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi...
12 Reactions
178 Replies
54K Views
Wasalamu [emoji1538]. Sina maongezi mengi sana juu ya hili kwa sababu maongezi yangu kwa upana wake yataitaji ufafanuzi mrefu ambao sipo tayari kuuweka kama sehemu ua uzi huu labda kama 'comment'...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
"Mafanikio huja kwa kufanya unachokipenda", hii ni kwa mujibu wa Fid Q na wanafalsafa wengine wengi ambao wamepata kiutokea katika uso wa dunia. Tasnia ya habari (hasa habari za burudani) kuna...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii promo nimeanza kuiona tangu wiki iliyopita sijajua ni nini aisee, mtujuze, au ndio marketing strategy
0 Reactions
14 Replies
2K Views
UKWELI uliowazi huthibitishwa na mpenyo wa uongo kwenye ngoma za masiko ya binadamu aliyehai na utimamu wa fikra zenye utambuzi wa weledi katika jambo husika. Kuna mambo katika nyakati huleta...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wimbo mpya wa JAMAFEST2019 ulioimbwa na Msanii Peter Msechu, umeteuliwa kuwa wimbo maalum katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki linalotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Septemba 21-28...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Burna Boy, AKA, YCee & More Get In a Heated Exchange Surrounding Xenophobic Attacks in South Africa As we've been reporting, South Africa is currently embroiled in violent xenophobic attacks...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau wa hiphop, Nani ni noma kati ya hivi vichwa viwili chidi au fidi enzi wapo fire..... Bila kujali matatizo yaliyowapata yaliyowaathiri kwenye game, JE NANI NI MKALI???
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Miongoni mwa mastaa wa kike ambao wasipojiangalia watakuwa na mwisho mbaya basi huyu mwanadada Wema Isaac Sepetu anaongoza. Kiukweli Wema inabidi afanye juu chini atafute wataalamu wa jadi...
3 Reactions
60 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii hasa Instagram habari iliyoshika kasi huko ni madai ya uhusiano kati ya mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mwanamuziki Rayvanny...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Msanii Harmonize aka Konde Boy ametoa ngoma mpya akiwa na Eddy Kenzo kutoka Uganda inayoitwa 'Inabana'. Ikumbukwe hii ngoma yake ya kwanza tokea akiwa msanii Solo, hivyo kionjo cha Wasafi kama...
3 Reactions
84 Replies
14K Views
Msanii wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Ringtone Apoko ambaye kipindi cha nyuma alitangaza ni yake ya kumuoa Zari The Boss Lady, ameamua kumnunulia ndinga kali mama huyo wa watoto watano ikiwa...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Kajala Masanja ungekua bado hujaolewa.....,basi tu.Huyu dada ni mrembo sana hasa akiwa natural bila yale marangi rangi yao.Pembeni ni beautiful onyinye Jack Wolper.
0 Reactions
66 Replies
17K Views
Habarini.... Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient...
10 Reactions
179 Replies
51K Views
Harmonize baada ya kuondoka Wcb Kwa muda mfupi tu matokeo yake yameeanza kuonekana zile One Million Viewers Kwa siku Hazipo tena Nachojiuliza pale WCB kuna mdudu gani Mbona Wakiondoka wanapotea...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom