Harmonize kusepa WCB: Alibaniwa matamasha mengi ya pesa ndefu kuliko Diamond

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Kutoka fethibuku:

Sote tunajua diamond ni mwenyekiti wa Wcb na pia ni msanii.

Hivi vitu ni kitu kibaya endapo msanii mwenye hivi vyeo ana kundi / label yenye wasanii wazuri.

Binadamu tuna wivu, ndio asili yetu, ndivyo tulivyoumbwa, huwezi kupigana na nafsi yako.

Diamond kwa sasa gharama zake za kufanya show zimeshuka, sio kama zamani alipokuwa anapewa milioni 150 kwa show nje ya nchi, kwa sasa mapromota wengi wapo tayari kutoa pesa ya kawaida tu.

Mziki ukaja pale Diamond anpata bookings za show pungufu kuliko zamani na mapromota wakashusha dau lake la milioni 150 mpaka milioni 50, Huku upande wa pili Harmonize anasumbuliwa vibaya mno kufanya shows kwa gharama kubwa sana pengine kuzidi hata Diamond.

Hapa ndipo mzozo ulipoanza sasa, Diamond ndio Mwenyekitu wa wcb, Kwa wivu kwamba Harmonize anapata booking za show kibao kwa pesa ndefu, Diamond akaanza kucheza michezo michafu kwa kuwaambia mapromota kwamba harmonize yupo busy sana ili harmonzie afanye show chache kuzidi yeye na hata ikitokea booking imekubaliwa basi ilikuwa ni show za kwaida, Yale tamasha yaa wasanii wakubwa afrika ambayo Diamond hakuwepo ila Harmonize alikuwa anaombwa awepo ndio yaliyopigwa chini, Ni matamasha yanyoongeza hadhi ya msanii na ilikuwa hatari kwa Diamond.

Diamond ni CEO wa wasafi hivyo ana nguvu kubwa kutoa maamuzi, ila kibaya zaidi nae alikuwa msanii, Ilikuwa ikitokea kuna mwaliko wa kufanya show ikitokea tenda kutoka kamouni fulani wakitaka msanii moja wa wcb aende kupiga show marekani, basi hapo diamond kwa vile yeye alikuwa anatoa maamuzi na pia ni msanii, alikuwa anajipendelea kwa kujichagua, ila ikafika kipindi sasa hadi makampuni yanamkubali harmo aende kupiga show kuliko diamond aliekuwa analazimisha aende yeye, hapa kulikuwa na mutano sio kitoto.

Huwezi kumziba panya kwa mkate, Dogo harmonize kila akiachia ngoma ni jiwa na inapata views kibao huko youtube, Hapa maji yanamfikia boss shingoni sasa, boss akaanza kutoa ngoma kwa fujo na promo kibao na kiki ila ngoma ina kuwa kama big g haikai wiki ishazimia, hali ikawa mbaya boss akaona atembelee nyota ya konde boy waktaoa kwangaru ambayo hadi sasa ina views milioni 50 na ushehe, kodne boy hana kiki wala nini akitoa ngoma ila zinabamba balaa hadi ile ya fire waist ndio ilihusika wengi kumjua mzee wa likwidi.

Ukweli kujifichua ni swala la muda tu, Kimbembe kikaja sasa Harmo taarifa zikampitia kwamba kuna shows zake za hadhi ya juu zenye mpunga mrefu zilikuwa zilipigwa chini , ukichanganya na kubaniwa kutoa ngoma zake zilizorundikana studia ndio hapo sasa mmakonde akaomua kumchana boss,

Kwa kuwa konde boy alikuwa anafanyiwa unyama huu ikabidi aende kwa boss kumpa makavu, hapa ndipo vugu vugu la harmonize kuondoka likaanza kusambaa mitandaoni, Konde boy kwa roho safi hili kipindi akawa anafanya udiplomasia na boss wake kama wanaweza kwenda sambamba kuanzia muda huo bila kuendelea hii michezo michafu, hii ikawa kama vile adui yako njaa inamuuma we unampelekea chakula ukidhani kwamba atakuona mwema kumbe ndio kwanza umetia mafuta kwenye moto, hapa ikabidi boss akiri tu kwamba hawawezi kuendelea kazi kwa usalama wake maana konde boy anakuja kwa spidi ya radi atamfunika hadi boss wake kwenye label yake.

Konde boy hana kosa lolote, alikiri kabisa boss wake D ni kama baba yake, hata baba hapendagi mtoto wake azeekee nyumbani.
 
Unambania msanii ambaye akipiga show una percentage yako HOW?

HOW unambania msanii ambaye umewekeza muda na hela yako ili upate faida?

Ila muda utaongea hizi nyingine chai.Uzuri wa JF unajifunga na maneno yako mwenyewe uliyo yaongea nyuma.

Hii thread yako tunayo muda ukifika tutakukumbusha.

Diamond kama angekuwa na mawazo kama hayo ya UBINAFSI leo hii kusingekuwa na WCB,wala Harmonize.
 
Mkuu wewe una nafasi gani pale WCB au source ya info zako ni ipi??
Maana wabongo nnawajua kwa conspiracy!!
M-bongo anaweza kukwambia Tz ina silaha za siri ambazo nchi yoyote haina na haijui.. lakini ukimuuliza wewe umejuaje siri hizo balaa ndo linaanzia hapo...
 
Hizo ngoma zake zilizorundikana studio mbona hazitoi?au ndio ile ya Q chief
Kutoka fethibuku:

Sote tunajua diamond ni mwenyekiti wa Wcb na pia ni msanii.

Hivi vitu ni kitu kibaya endapo msanii mwenye hivi vyeo ana kundi / label yenye wasanii wazuri.

Binadamu tuna wivu, ndio asili yetu, ndivyo tulivyoumbwa, huwezi kupigana na nafsi yako.

Diamond kwa sasa gharama zake za kufanya show zimeshuka, sio kama zamani alipokuwa anapewa milioni 150 kwa show nje ya nchi, kwa sasa mapromota wengi wapo tayari kutoa pesa ya kawaida tu.

Mziki ukaja pale Diamond anpata bookings za show pungufu kuliko zamani na mapromota wakashusha dau lake la milioni 150 mpaka milioni 50, Huku upande wa pili Harmonize anasumbuliwa vibaya mno kufanya shows kwa gharama kubwa sana pengine kuzidi hata Diamond.

Hapa ndipo mzozo ulipoanza sasa, Diamond ndio Mwenyekitu wa wcb, Kwa wivu kwamba Harmonize anapata booking za show kibao kwa pesa ndefu, Diamond akaanza kucheza michezo michafu kwa kuwaambia mapromota kwamba harmonize yupo busy sana ili harmonzie afanye show chache kuzidi yeye na hata ikitokea booking imekubaliwa basi ilikuwa ni show za kwaida, Yale tamasha yaa wasanii wakubwa afrika ambayo Diamond hakuwepo ila Harmonize alikuwa anaombwa awepo ndio yaliyopigwa chini, Ni matamasha yanyoongeza hadhi ya msanii na ilikuwa hatari kwa Diamond.

Diamond ni CEO wa wasafi hivyo ana nguvu kubwa kutoa maamuzi, ila kibaya zaidi nae alikuwa msanii, Ilikuwa ikitokea kuna mwaliko wa kufanya show ikitokea tenda kutoka kamouni fulani wakitaka msanii moja wa wcb aende kupiga show marekani, basi hapo diamond kwa vile yeye alikuwa anatoa maamuzi na pia ni msanii, alikuwa anajipendelea kwa kujichagua, ila ikafika kipindi sasa hadi makampuni yanamkubali harmo aende kupiga show kuliko diamond aliekuwa analazimisha aende yeye, hapa kulikuwa na mutano sio kitoto.

Huwezi kumziba panya kwa mkate, Dogo harmonize kila akiachia ngoma ni jiwa na inapata views kibao huko youtube, Hapa maji yanamfikia boss shingoni sasa, boss akaanza kutoa ngoma kwa fujo na promo kibao na kiki ila ngoma ina kuwa kama big g haikai wiki ishazimia, hali ikawa mbaya boss akaona atembelee nyota ya konde boy waktaoa kwangaru ambayo hadi sasa ina views milioni 50 na ushehe, kodne boy hana kiki wala nini akitoa ngoma ila zinabamba balaa hadi ile ya fire waist ndio ilihusika wengi kumjua mzee wa likwidi.

Ukweli kujifichua ni swala la muda tu, Kimbembe kikaja sasa Harmo taarifa zikampitia kwamba kuna shows zake za hadhi ya juu zenye mpunga mrefu zilikuwa zilipigwa chini , ukichanganya na kubaniwa kutoa ngoma zake zilizorundikana studia ndio hapo sasa mmakonde akaomua kumchana boss,

Kwa kuwa konde boy alikuwa anafanyiwa unyama huu ikabidi aende kwa boss kumpa makavu, hapa ndipo vugu vugu la harmonize kuondoka likaanza kusambaa mitandaoni, Konde boy kwa roho safi hili kipindi akawa anafanya udiplomasia na boss wake kama wanaweza kwenda sambamba kuanzia muda huo bila kuendelea hii michezo michafu, hii ikawa kama vile adui yako njaa inamuuma we unampelekea chakula ukidhani kwamba atakuona mwema kumbe ndio kwanza umetia mafuta kwenye moto, hapa ikabidi boss akiri tu kwamba hawawezi kuendelea kazi kwa usalama wake maana konde boy anakuja kwa spidi ya radi atamfunika hadi boss wake kwenye label yake.

Konde boy hana kosa lolote, alikiri kabisa boss wake D ni kama baba yake, hata baba hapendagi mtoto wake azeekee nyumbani.
 
Umeandika pumba Sana kiasi ambacho kinaweza kumuharibia Sana harmonize kuliko kupata sympathy ya watu umeonesha jinsi gani ulivyo mweupe kwenye mziki kwa watu wenye akili watapata wakati mgumu kutetea pumba ulizoandika au kuunga mkono hoja yako.
 
Mtoa mada umevuta sigara diamond atambania vipi mmakonde wakati akipiga show makato kibao yanaenda kwake na kampuni yake

Kwa nini hasimbanie?

Kumbuka pia show hiyo hiyo Diamond atakayombania Harmonize kimataifa akienda kuimba mwenyewe atapata mapato, and at the same time ataendelea kuonekana bado anakubalika na atazidi kujijenga internationally kwa hiyo lazima ambanie, issue hapa sio mapato tu, issue hapa ni mapato+ kuzidi kujijenga kimataifa

Kumbuka Diamond anapenda kick na anapenda kuonekana yupo juu zaidi ya binadamu yoyote , atafanya whatever it takes ili aonekane hajachuja
 
Hiki unachoandika hautamsaidia harmo hata kidogo utafanya atawatu wasiomchukia waanze kumchukia hiv diamond unamchukiliaje kwanza? kwann usimsaidie huyo harmo kufikisha viewers mil 1 ya ngoma yake ambayo Ina wiki 1 Sasa hiv ijafikisha atakusikika haisikiki kuliko kuongea uharo.Mwaka Jana harmo ndo katoa nyimbo nyingi kuliko boss wake hata mwaka huu before ajaondoka WCB katoa pia ngoma nyingi kuliko diamond mbona usemi kapendelewa?katika msanii ambaye diamond kainvest hela nyingi Sana ni harmonize kuliko msanii yoyote pale wcb ata kipindi diamond anamtoa harmo aliacha kutoa kazi zake mpaka akikishe harmo awe mkubwa mbona ulizungumzii hili hiv huyo angebaniwa angefika hatua kubwa?alafu unakuja kuandika story za kutunga zitakusaidia Nini wewe?
 
Kutoka fethibuku:

Sote tunajua diamond ni mwenyekiti wa Wcb na pia ni msanii.

Hivi vitu ni kitu kibaya endapo msanii mwenye hivi vyeo ana kundi / label yenye wasanii wazuri.

Binadamu tuna wivu, ndio asili yetu, ndivyo tulivyoumbwa, huwezi kupigana na nafsi yako.

Diamond kwa sasa gharama zake za kufanya show zimeshuka, sio kama zamani alipokuwa anapewa milioni 150 kwa show nje ya nchi, kwa sasa mapromota wengi wapo tayari kutoa pesa ya kawaida tu.

Mziki ukaja pale Diamond anpata bookings za show pungufu kuliko zamani na mapromota wakashusha dau lake la milioni 150 mpaka milioni 50, Huku upande wa pili Harmonize anasumbuliwa vibaya mno kufanya shows kwa gharama kubwa sana pengine kuzidi hata Diamond.

Hapa ndipo mzozo ulipoanza sasa, Diamond ndio Mwenyekitu wa wcb, Kwa wivu kwamba Harmonize anapata booking za show kibao kwa pesa ndefu, Diamond akaanza kucheza michezo michafu kwa kuwaambia mapromota kwamba harmonize yupo busy sana ili harmonzie afanye show chache kuzidi yeye na hata ikitokea booking imekubaliwa basi ilikuwa ni show za kwaida, Yale tamasha yaa wasanii wakubwa afrika ambayo Diamond hakuwepo ila Harmonize alikuwa anaombwa awepo ndio yaliyopigwa chini, Ni matamasha yanyoongeza hadhi ya msanii na ilikuwa hatari kwa Diamond.

Diamond ni CEO wa wasafi hivyo ana nguvu kubwa kutoa maamuzi, ila kibaya zaidi nae alikuwa msanii, Ilikuwa ikitokea kuna mwaliko wa kufanya show ikitokea tenda kutoka kamouni fulani wakitaka msanii moja wa wcb aende kupiga show marekani, basi hapo diamond kwa vile yeye alikuwa anatoa maamuzi na pia ni msanii, alikuwa anajipendelea kwa kujichagua, ila ikafika kipindi sasa hadi makampuni yanamkubali harmo aende kupiga show kuliko diamond aliekuwa analazimisha aende yeye, hapa kulikuwa na mutano sio kitoto.

Huwezi kumziba panya kwa mkate, Dogo harmonize kila akiachia ngoma ni jiwa na inapata views kibao huko youtube, Hapa maji yanamfikia boss shingoni sasa, boss akaanza kutoa ngoma kwa fujo na promo kibao na kiki ila ngoma ina kuwa kama big g haikai wiki ishazimia, hali ikawa mbaya boss akaona atembelee nyota ya konde boy waktaoa kwangaru ambayo hadi sasa ina views milioni 50 na ushehe, kodne boy hana kiki wala nini akitoa ngoma ila zinabamba balaa hadi ile ya fire waist ndio ilihusika wengi kumjua mzee wa likwidi.

Ukweli kujifichua ni swala la muda tu, Kimbembe kikaja sasa Harmo taarifa zikampitia kwamba kuna shows zake za hadhi ya juu zenye mpunga mrefu zilikuwa zilipigwa chini , ukichanganya na kubaniwa kutoa ngoma zake zilizorundikana studia ndio hapo sasa mmakonde akaomua kumchana boss,

Kwa kuwa konde boy alikuwa anafanyiwa unyama huu ikabidi aende kwa boss kumpa makavu, hapa ndipo vugu vugu la harmonize kuondoka likaanza kusambaa mitandaoni, Konde boy kwa roho safi hili kipindi akawa anafanya udiplomasia na boss wake kama wanaweza kwenda sambamba kuanzia muda huo bila kuendelea hii michezo michafu, hii ikawa kama vile adui yako njaa inamuuma we unampelekea chakula ukidhani kwamba atakuona mwema kumbe ndio kwanza umetia mafuta kwenye moto, hapa ikabidi boss akiri tu kwamba hawawezi kuendelea kazi kwa usalama wake maana konde boy anakuja kwa spidi ya radi atamfunika hadi boss wake kwenye label yake.

Konde boy hana kosa lolote, alikiri kabisa boss wake D ni kama baba yake, hata baba hapendagi mtoto wake azeekee nyumbani.
Huu ndio uongo wa wazi kabisa,ndio upuuzi wa kiwango cha juu. Mtu umemuajiri wewe ili kipato atakachokipata wewe una 100% zako kuringana na mkataba,sasa utambanieje wakati ndio furaha yako?. Ksbb kadri anavyopata show kubwa za pesa ndefu ndivyo na yeye boss wake anapata pesa ndefu. Hata kama una chuki na Diamond vipo vitu vya kuangalia kabla hujaandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom