Wakuu mbona kama mumepitwa

anasbo

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
4,957
8,952
Dah kuna ndugu yetu mmoja ametoa ngoma na Nora Fatehi dah mpaka mda huu sijapata picha kabisa toto kama lile sijui kalibumia mazingira gani.

Tayari ngoma ishavunja rekodi ya fastest million views in Afrika na ndio kwanza teaser tu nyimbo kamili bado.

Strategy nzuri

wahindi population wako 1.5bn hivi

Trailers za movies za kihindi huwa zipo zinafika viewers kama 100m hivi, its normal

Huoo wimbo unaweza fikisha 200m hivi

wimbo wake wa Dilbar una 0.6B viewers

Idadi ya wahindi watakaoutazama huu wimbo watakuwa wengi kuliko wale wa east africa

na Vanny kafanya vyema kujiweka second maana sio rahisi kukipata hiki kifaa cha bollywood ambae wahindi wanampenda kama watanzania wanavyopenda Ndege ile iliyokamatwa afrika kusini
 
Hahahaha mkuu Mbona wengi hatuipendi hile ndege,labda ccm,but good move by Vannyboy and it's WCB team.
 
Dah kuna ndugu yetu mmoja ametoa ngoma na Nora Fatehi dah mpaka mda huu sijapata picha kabisa toto kama lile sijui kalibumia mazingira gani.

Tayari ngoma ishavunja rekodi ya fastest million views in Afrika na ndio kwanza teaser tu nyimbo kamili bado.

Mnhh.. Katease kidogo sanaa...

Anyway Let us wait
 
Tatizo hiyo cover artwork kavaa Sweater (sweta) la Tanzania.

Au ndio uzalendo?
 
Strategy nzuri

wahindi population wako 1.5bn hivi

Trailers za movies za kihindi huwa zipo zinafika viewers kama 100m hivi, its normal

Huoo wimbo unaweza fikisha 200m hivi

wimbo wake wa Dilbar una 0.6B viewers

Idadi ya wahindi watakaoutazama huu wimbo watakuwa wengi kuliko wale wa east africa

na Vanny kafanya vyema kujiweka second maana sio rahisi kukipata hiki kifaa cha bollywood ambae wahindi wanampenda kama watanzania wanavyopenda Ndege ile iliyokamatwa afrika kusini

Mkuu huyu demu ni Muarabu ila ndio amejichanganya bollywood, Kwahiyo ana big fan base Middle East.

Na India mkuu 1.5b hai reflect direct kwa umaarufu wa Bollywood. Bollywood ipo based zaidi North India nayo nikatika miji michache ila Mikubwa kama Mumbai na Delhi, Hayo maeneo mengine hata Lugha wanatumiaga tofauti na wana music zao na michezo yao. Kwa hiyo Bollywood inapenya kote lakini sio kiivo mpaka ukaipigia hisabu 1.5 yote kama ni ngome yake.
Bollywood ina market zaidi Pakistan au Middle East kuliko maeneo ya kusini mwa India.
 
Mimi bado nashindwa kufahamu huyu Demu kapatwa na pepo la aina gani mpaka akatafuta fikinyu na mbongo. amejishusha sana hadhi.
 
Strategy nzuri

wahindi population wako 1.5bn hivi

Trailers za movies za kihindi huwa zipo zinafika viewers kama 100m hivi, its normal

Huoo wimbo unaweza fikisha 200m hivi

wimbo wake wa Dilbar una 0.6B viewers

Idadi ya wahindi watakaoutazama huu wimbo watakuwa wengi kuliko wale wa east africa

na Vanny kafanya vyema kujiweka second maana sio rahisi kukipata hiki kifaa cha bollywood ambae wahindi wanampenda kama watanzania wanavyopenda Ndege ile iliyokamatwa afrika kusini
Pumbaffff hapo mwshon umenichekesha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom