Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole' amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume...
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata...
Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
Mwanamziki nguli wa muziki wa AfroPop Bi Patricia Majalisa kaaga dunia.
South African disco queen, Patricia Majalisa, has died.
In a message posted on the late Dan Tshanda’s Facebook page...
Lord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi.
Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo...
Wakuuu habari za mida
Okey ni hivi Najua unamjua na unampata sana black America (Eddie Murphy) basi leo nakwambia jamaa ana uwezo wa kucheza Character Zaidi ya Tano, ipo hivi leo nakwambia kama...
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani.
Sasa swala limekuja baada...
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye...
Licha ya kuwa Salama Jabir ni kati ya watangazaji wachache wenye mvuto na waledi kwenye career yake hiyo, Msanii wa hip hop, Nikki mbishi, amemvaa Mtangazi huyo mwenye hulka ya ki tomboy na...
Yametimia baada ya yule dada maarufu kwa kutembea na serengeti boys aka dogodogo kumpa kibuti kikali aliyekuwa mpenzi wake yaani Nuhu Mziwanda.
Mtakumbuka mapenzi yao yalibamba sana hasa baada...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake...
Wasalaam wana jamvi!
Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha...
Anaandika Mange Kimambi
A letter to my brother Anil
Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best sister I can be. Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi.
Nimejaribu...
August Alsina (27) amerudi kwa kishindo kwenye muziki, amethibitisha kuwa kwenye mahusiano na mwanamama Jada Pinkett.
Kwenye mahojiano na Podcast ya Joe Budden, Alsina ambaye ameachia album mpya...
Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema ya kumchukulia Diamond na nukuu...
"Mie nimpore Wema Diamond, that is too low for me ingawa Diamond alionyesha interest but I have one...
Habari za asubuhi Watanganyika wenzangu.
Lengo la kuwapa ajira wasanii bila shaka inalenga kuwapata wasikilizaji, kuwagombea audience kutengeneza base.
Zembwela hata mie amenivutia kumsikiliza...
Hellow wadau mambo vipi.
Unajua Nini nilikuwa nacheki TV dakika kadhaa zilizopita nikamona Ali Kiba na wimbo wake. Basi nikakumbuka kitu huyu Ali sijasikia akitoa pole, rambirambi wala kufika...
Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii
3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.