Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,842
- 17,498
"Huyu huyu gavana wa benki yetu balali eeh, mamaa eeh,
Alishiriki wizi akakimbilia mbalii yoo, mamaa ooh
Eti wakatupasha habari, kwamba amefariki dunia, aaah aah.........
Wasaalam!
Sahau mistari yake mikali kama hiyo hapo juu kutoka kwenye wimbo maridhawa wa "kudu", kuna sumu ya teja , salama, kariakoo, Hotuba ya mlevi, hotuba n.k
He's a real meaning of talented artist, unfortunately less credit is given to this guy.
well najua kuna nyuzi nyingi zilikwishaandikwa kumuelezea huyu "mwanagenzi' wa lugha yetu adhimu ya kiswahili, (si vema kurudia tena).
Lakini ni muda sasa sijapata wasaa wa kusikia habari zake ama kazi zake mpya tangu mara ya mwisho nilipomuona akiperform pale Tasuba, bagamoyo.
Yu wapi huyu mwanaharakati aliyejua si tu kuburudisha lakini pia kufikisha ujumbe wa kuikosoa na kuirekebisha serikali kupitia kazi zake???
Let's meet at top, cheers