Huyu jamaa alikuwa ni producer mkali, ametengeneza ngoma zilizo-hit sana miaka hiyo ikiwemo ngoma nyingi za Banana Zorro kama Niko Radhi, Hafsa Kazinja - Pressure na ngoma kibao.
Miaka ya...
Binafsi sijawahi kumkubali Joyce Kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama...
Nimekuwa nikifatilia performance nyingi zinazowakutanisha Alikiba na Diamond jukwa moja, huwa inampanikisha sana Diamond na kupelekea kufanya performance mbovu sana. Kama mnakumbuka kwenye Tuzo za...
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja...
Bidada nasikia limemkuta jambo , ile ofisi yake aliyoifungua kwa mbwe mbwe wiki kadhaa iliyopita nasikia imevunjwa vunjwa na Vijana wanaosadikika wametumwa na mke wa muheshimiwa ambaye anadaiwa...
Leo Dodoma kwenye kikao cha CCM wasanii karibia wote walikuwepo ukumbini. Karibia wote walikuwa wamevalia jezi za CCM..Isipokuwa King Kiba, japo katumbuiza ila hakutaka kuvaa jezi ya CCM.. kama...
Habari zenu wana jamvi.
Naomba kuwaulizeni nimekuwa nikisikia kuwa kuna Watu hawa Wawili wanajiita Wachambuzi mahiri wa masuala ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa nchini Tanzania ambao ni Chris...
Habari zenu wapendwa baada ya bidada Snura Mushi kusema hawezi kuwavulia chupi wadogo zake yaani wanaume aliowazidi umri .. Juz kapost picha akidendeka hadharani na Ben pol , sasa swali ni je huyo...
Kazi aliyotoa chilla recently Ni Kali Sana inaitwa "bimbilika" inanikumbusha ngoma zake za nyuma Kama u Hali gani.Jamaa ana kipaji kikubwa Sana napenda apate Mafanikio Kama kipaji chake kilivyo.
GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA.
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Ahamedy Ally Upete aka Geez Mabovu amefariki dunia usiku wa saa mbili ya leo baada ya kusumbuliwa na maradhi...
#Happynyerereday to everyone
Kwa hapa Tanzania tumebarikiwa vipaji vingi sana vya Wana muziki tofauti tofauti ...lakini mada hii imejikita kwa upande wa hip-hop
Ukanda wa kusini Tanzania...
Kana-Ka-Nsungu is back! nilienda bush kutambika na nimerudi na mengi sana kutoka huko tunapopaita nyumbani, nitakuwa nikiwamegea kidogo kidogo kadiri muda utakavyo ruhusu, kwa leo naomba tu na...
Live kutoka JNICC
Tuzo za malkia wa nguvu zinazotolewa na Clouds Media na KCB tujiajiri program
Mgeni rasmi ni Mama Getrude Mongela, na naona na watu mashuhuri kadhaa akiwemo RC wa jiji hili...
MARTIN F LAWRENCE.
LUCAS MHUVILE a.k.a JOTI.
Msanii Joti amekuwa akionekana akiigiza nafasi mbalimbali na kuzimudu, kwa hilo namfananisha na Msanii genious wa USA, Martin F Lawrence aliyetamba...
Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.
Ilifika muda Shilole akataka...
Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.
Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba...
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.