Nina shida na tetemesha kidbwoy. Njia rahis ya kumpata

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe juu yenu

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Nina shida sana na huyu ninja mtu mpambanaji sana kidbwoy

Je office yake iko wapi hapa mwanza

Na huwa anapenda kukaa wapi na nimejaribu sana kumtafuta lakin nagonga mwamba

Naomba kuelekezwa oficine kwake Nina shida Naye sana tena zaid ya sana

ASANTEN SANA

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashida na TetemeshaKidbwoy. yaani ni kitu kimoja TetemeshaKidbwoy, ngumu kueleweka ndio maana unakosa msaada, Unashida na Tetemesha ilipo yaani Studio au Kidbwoy producer,
Kwakukusaidia, Kwa sasa jamaa haishi Mwanza yuko Dar, kwahiyo funga safari uende Dar, Ila mtafute kwenye mitandao ya kijamii sana sana IG unaweza wasiliana nae, japo jamaa sio mtu wa hayo mambo yenu kwa sana
 
Nina shida nayeye binafis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom