Hii inashangaza sana kweli Mh Makonda kupewa Mic kama mzungumzaji kwenye Harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo
Hii kitaalaam tunaitaje???
Kiukweli mi sioni Kama kaporomoka,,kwasababu Kati ya MC na RC..mkubwa ni MCDuhhhh....
Yaani kaporomoka kutoka kua RC hadi kua MC...
.... has won.Arsenal Is Winning
Duh wajumbe sio watu wazuriWajumbe walikanyaga waya.
BrotherDada yake diamond? queen darleen au nani?
maana ndoa siku hizi imekua kama mkojo, kidogo tu mtu anakojoa.