Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?
Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.
Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?