Facebook Bongo DJ's burudani mpya mjini

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,240
22,631
Habari wakuu.

Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu.

MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group Facebook. Ambapo huko wamewekeana ratiba (schedule) week nzima. Kuanzia asubuhi mpka usiku mnene.

Mfano Leo saa 4 usiku atakuwa DJ JD (John Dilinga) live akidondosha Old Skool Songs. Na DJ aliyepo shift siku hiyo live unaweza kumpa tips hata ya vocha tuu. Kama ukikubali mixing yake ya siku hiyo.

Hii ni burudani tosha kipindi hichi.
 
Kwa sasa ni zamu ya dj rexx mbongo aliyeko huko kwa trump... Live anaonekana akimix
 
Nice watu wanaojua kutumia social platforms kupiga hela,wengine wanalalamika wenzao wanaumiza vichwa
Kwa kweli bro jamaa wamefanya ubunifu mnoo kipindi ambacho madj hawana kazi au chache.. Wnapatia riziki pale..

Kuna wabongo madj mule Kama DJ micho yupo anapiga akitokea Cape Town club Apollo.. Sauz uko..
DJ rexx, DJ Kaycee wanatoka USA wabongo hawa..

Kama unataka burudika kawaskilize mkuu
 
Naicopy vipi hapa mpka leo sijuagi
Nimejaribu lakini inasumbua. I think kama una Facebook account uki search bongo djs utapata hilo group then una join.

Within the group unaweza ku search your favourite dj e.g DJ JD then utapata recorded video lakini pia wanapost ratiba ya siku kwa madj watakaokuwa live. Ni nzuri maana unapata non stop music za kila aina kutoka djs tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilishajiunga zamani mkuu. nafatiliaga ila kuna jamaa kaomba link yake iwekwe hapa..

Mi ndo nauliza nawezaje hii link hapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom