Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wana Jf Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao...
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Mastaa wa kike wenye ushawishi mkubwa haswa kwa wanawake na wenye mamilioni ya mashabiki, wameonyesha kuchanganyikiwa na kipaji pamoja na kazi za Zuchu msanii wa kike toka WCB. Wamekuwa wakipost...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu yangu Ally Kiba nakushauli uache kupiga muziki. Hakika muziki ni kazi ya shetani. Kuna kazi nyingi za kufanya ambazo zinampendeza Mnyaazi, umaarufu huu wa duniani hautokufaa kesho akhera.
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Katika pita zangu zangu leo nikasikia jamaa anayemiliki dar live anaitwa erick shigongo, nikawaza huyu jamaa ni...
1 Reactions
69 Replies
23K Views
Kwa wapenzi wenzangu wa Mziki wa Injili, kesho tar05 Jumapili viwanja vya Tanganyika Packers -Kawe, kutakuwa na tamasha kubwa la mziki wa Injili linaloitwa ' Muziki wa Shukrani, Kila Goti...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mke wa producer nguli na mmiliki wa BeatsByDre, bwana Dr. Dre ameomba talaka baada ya kuishi wote takriban miaka 24 kwenye ndoa. Iwapo mahakama itaamuru waachane, basi mwanamama Nicole Young...
11 Reactions
323 Replies
68K Views
Kupitia akaunti yake ya facebook, mwanamitindo na mjasiriamali Joketi Mwegelo, ametoa tahadhari kwa wananchi kuhusu uwepo wa mtu anayetumia jina la Joketi Mwegelo kuwatapeli...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Mwigizaji maarufu Goo Hara ambaye amezaliwa kwenye mji wa Seoul nchini South Korea ameigiza korean drama Kama City hunter, secret love na nyingine nyingi Leo amefariki akiwa na miaka 28. Mwadada...
6 Reactions
54 Replies
10K Views
Miongoni mwa wasanii ambao hapa nyumbani bongo wanaishi maisha yao bila kupretend ni Alikiba. Huyu jamaa hata akizikwa leo naamini watu hawatoshangaa maisha yake maana ha fake kitu chochote. Me...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Na Hash Power Kuna msemo mmoja kwamba ukipenda kazi unayoifanya, lazima ufanikiwe maishani mwako! Gene Deitch, ni miongoni mwa mifano inayoishi ya jinsi kujituma, kupenda unachokifanya na...
19 Reactions
24 Replies
6K Views
Mwishoni mwa mwaka 2012 mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi hapa Tz maarufu kama Banza Stone alisikika katika kipindi maarufu kinachorushwa na mtangazaji makini Millard Ayo kupitia clouds fm...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Vile vikombe vilivyokuwa vinaibuka kila uchao siku hizi havisikiki tena,Si kwa babu,Tabora,Mbeya wala wapi sijui au ndo tunapisha bunge kwanza ndo viendelee?Au huduma imesitishwa?Mlioko kwenye...
0 Reactions
94 Replies
14K Views
Baada ya seven, Kiba atimua meneja wake mwingine ====== ALIKIBA ATHIBITISHA KUMTIMUA KAZI MENEJA WAKE WA KIKE, ATOA SABABU HIZI ‘Ni kweli sifanyi nae kazi tena. Ni taratibu za kazi, amekuwa na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake. Halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi, style...
7 Reactions
56 Replies
9K Views
Mambo 10 usiyoyajua kumhusu Bruce Lee Wapenzi wengi wa filamu wanamtambua na kumuenzi sana marehemu mwigizaji Bruce Lee kutokana na weledi wake kwenye filamu na sanaa ya Kung Fu zilizowazingua...
7 Reactions
20 Replies
7K Views
Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile...
20 Reactions
140 Replies
17K Views
Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi naanza na Wolper na Irene uwoya pia Lulu na Diana Kimario hawa watu wanapendeza sana wakiigiza pamoja movie inakuwa tamu sana wanavutia pia katika uigizaji kimavazi hadi uongeaji, kabla...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom