Diamond wachukue hawa watangazaji Michael Noel na Gwamaka Franci

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,189
3,684
Hawa vijana ni kutoka rFa Redio free Africa ni watangazaji wa michezo wazuri

Wanafaa sana wakiungana katika kipindi cha sport arena wasafi fm

Michael Noel
FB_IMG_1581765933880.jpeg

Gwamaka Francis
FB_IMG_1581766029683.jpeg



Exalioth
Machinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga wa hali ya juu mtangazaji kuhama kutoka radio kubwa inayosikika nchi nzima kisha kukimbilia kwenye kiradio kinachosikika mkoa mmoja/miwili.

Kina Maulid Kitenge washaanza kujuta.

Unforgetable
Acha mhemko wewe kuna watu wanawasikiliza kupitia platforms mbalimbali, hiyo unayoita radio ndogo ina subscribers million moja na ushee YouTube
 
Ni ujinga wa hali ya juu mtangazaji kuhama kutoka radio kubwa inayosikika nchi nzima kisha kukimbilia kwenye kiradio kinachosikika mkoa mmoja/miwili.

Kina Maulid Kitenge washaanza kujuta.

Unforgetable

Wasafi sio kwamba hawapendi kusikika mikoa yote, ni masharti ya TCRA, ngoja miaka mitatu ipite uone jamaa watavyozindua mkoa mmoja mmoja. Radio yoyote itayofunguliwa Tanzania huwa haipewi leseni ya kurusha matangazo moja kwa moja Mikoa yote lazima wapewe muda kwanza wachunguzwe, contents zitoshe then ndo wanapewa uhuru wa kuruka nchi nzima. Angalia efm walivyoanza na walipo sasa.
 
Back
Top Bottom