Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume. Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na...
1 Reactions
64 Replies
33K Views
Zuhura Kopa ajulikanaye kama ZUCHU, juma moja lililopita alifanya show Mlimani City hall, ilikuwa mbaya lakini kwa kuanzia siyo mbaya kwakuwa kila mtu huanzia chini na kupanda polepole. Vijana wa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Pamoja na kwamba uhusiano wako na majirani haukuwa muhimu sana kwako, kwani una vijihela na connection, ulitumia pia ushawishi wako kuzuia nyumba yako isibomolewe kupisha ujenzi wa barabara wakati...
20 Reactions
44 Replies
8K Views
#KimKardashian has finally broken her silence about her #husband #KanyeWest's recent rants on #Twitter. == Kim Kardashian has finally broken her silence about her husband Kanye West's recent...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna wakati huwa nawaza, kwa nini mtu ni maarufu halafu bado anaishi kwa wazazi? Kwa mfano, Mlelwa kwa umaarufu wako hustahili kuishi kwa mama, Baraka wa 69 records kwa nini bado upo kwa mama...
4 Reactions
134 Replies
17K Views
Mmarekani mweusi Nick Cannon (39) ambaye anafahamika zaidi kama muigizaji, mchekeshaji na mtangazaji ametuhumiwa kwa ubaguzi baada ya kuwafananisha wazungu na wanyama Kupitia kipindi chake...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Leo saa tatu usiku Adam Mchomvu atakuwa ndani ya Wasafi TV sijajua kunanini. Let wait and see. Source: Wasafi TV Instagram page
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao...
5 Reactions
174 Replies
22K Views
Sijui hata nimewaza nini! Naiona nguvu kubwa ikitumika kumtambulisha mmiliki wa CMG Bwana Joe Kusaga, ni kama Mkurugenzi mpya vile kumbe ni yule yule aliyekuwa tangu kuasisiwa kwa kampuni hiyo...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Hakuna ubishi! Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme! Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana! Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie! Yakabaki mauzauza! Mzee bado u hai,ebu...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si...
11 Reactions
68 Replies
13K Views
#JenniferLopez went out #east but her plans went #south. The “#Dinero” #singer was all set for a beach day in the Hamptons this week when she was left #stranded after her #transportation was...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Come easy go easy..... Hakuna mapenzi mpaka kufikia kuvishana pete ndani ya masaa 48 tangu kufahamiana... Hapo lazima mmoja apigwe Wabongo muvi.. Mungu anawaona na ndio maana hata tasnia yenu hii...
7 Reactions
108 Replies
18K Views
Tangu harmonize aitambulishe album yake ya afro east, tayari ameachia official video kwa takribani ngoma 7 youtube bt amekua na takwimu mbovu ukilinganisha na zuchu alie tambulishwa nyuma ya afro...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Habarini wanaJF. Nina hamu ya kuona picha ya huyu kaka mtangazaji wa TBC1 ambaye anatangaza mambo ya mpira. Napenda sauti yake. Nataka nilinganishe sauti yake na yeye mwenyewe. SUED MWINYI
10 Reactions
73 Replies
15K Views
Kupitia wewe nimejifunza na naendelea kujifunza vingi. Asante kwa kuendelea kusupport Vijana. Asante kwa njia ya Sanaa uliyoichonga, Sasa inakomboa Vijana wengi mtaani.. @Josephkusaga
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Rwanda Albert Nabonibo 35,amekiri kushiriki mapenzi ya jinsia moja(Shoga). Hii inamaanisha kuwa Nabonibo ameficha mahusiano yake kwa muda mrefu lakini...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Jamaa kasema yupo katika hatua za mwisho za kuachia albam yenye mchanganyiko wa nyimbo zake zote kali, albam itakuwa na nyimbo 13 zikiwemo 1.KIKAO CHA FAMILY 2.NAJUA 3.MAMA WATOTO 4.SIO...
4 Reactions
53 Replies
16K Views
Waziri Mwakyembe jana akifanya mahojiano na TV ya mtandaoni kuhusu maoni yake kwa watangazaji kuhama vituo vyao vya kazi kila siku, Mwakyembe amesema Wizara inamalizia hatua za mwisho mwisho...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MUUZA sura macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Back
Top Bottom