Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,416
- 3,911
Diamond Platnumz Ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal Music ambayo alimwanga wino kusambaza kazi zake za Music, Diamond amesema kuwa amejifunza mengi kupitia mikataba yao, kiasi kuwa akiona Msanii ana sign anamsikitikia,
" Nimefanya kazi na Universal takribani miaka miwili na nusu na Nimemalizana nao mwaka huu, nisiwe mnafiki ninapoona msanii yeyote aki-sign mara ya kwanza namsikitikia. Dada yangu Vanessa Mdee alisainiwa niliwaambia uongozi duuh Natamani ajue anachoenda kukutana nacho. Lakini mimi sio mtu wa kuongea mitandaoni, nakaaga tu kimya," Amesema Diamond