Salma kikwete na mafuta ya papa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma kikwete na mafuta ya papa!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Msongoru, Sep 15, 2008.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu kanidokezea kwamba mama yetu wa kwanza naye alijitosa usiku mrefu ufukweni mwa bahari ili kujipatia mafuta ya yule papa aliyefia ufukweni wiki ilopita. Inasemekana ni dawa nzuri kwao!!!! Hii nayo imekaaje jamani?
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  He!makubwa haya!
   
 3. Lasthope

  Lasthope Senior Member

  #3
  Sep 15, 2008
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani naye si mtu tu kama walivyo wenfgine, naye ana belief zake kama binadamu mwingine yeyote, lakini je ndo kusema alikosa mtu wa kumfatia hayo mafuta hata aende mwenyewe usiku mkubwa au ni uzushi tu?
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,608
  Trophy Points: 280
  Labda nae ana ndoto kuja kuwa.......................kwao Lindi huko
   
 5. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Mlimuona akienda kuchukua hayo mafuta ya papa huko baharini usiku au ndio mambo ya radio mbao?????
   
 6. N

  Nyadundwe Senior Member

  #6
  Sep 15, 2008
  Joined: Jan 16, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  What is hapening to our beloved JF?
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  duh......hii udaku.
  Vp alienda na escot ya magari mangapi???
   
 8. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Yaelekea hata wao walikuwa wanafata hayo mafuta ya papa....kama ni usiku mnene walimuonaje kama na wao hawakuwa katika pilika hizo?????
   
 9. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #9
  Sep 15, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huu ndo udaku wenyewe.
   
 10. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii taarifa ni ya kijinga,sorry to say this!
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hivi JF ule ukumbi wa nyepesinyepesi utarudi lini?
   
 12. K

  Kandambili Member

  #12
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ni ya kijinga sema tu, sasa hiyo sorry ya nini? au huamini katika maneno yako?
   
 13. C

  Cool Girl Member

  #13
  Sep 15, 2008
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukisikia upotoshaji ndio huu sasa!!!!!mnazusha mpaka mnajisahau,ni kwamba umekosa la kuandika au?????????
   
 14. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general)
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Yoye yanawezekana....viongozi wetu inajulikana kuwa ni vigagula angalia wakati wa uchaguzi ruti za bagamoyo zinzvyoongezeka....na mzee wa vijisenti kumwaga unga unga bungeni au?
   
 16. C

  Cool Girl Member

  #16
  Sep 15, 2008
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona umekosa cha kuandika!!!umbea wa kijinga sana huu!!!!uzushi usiokuwa na maana,kama hauna kazi nenda kasafishe mazingira yanayokuzunguka maana machafu
   
 17. Tonga

  Tonga Senior Member

  #17
  Sep 15, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani hayo mafuta ya papa yanasaidia nini? naona niko kwenye giza nene!
   
 18. g

  grandpa Senior Member

  #18
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Taarifa hiyo haina tofauti na taarifa zahivi karibuni za Mtikila. Total Rubbish.
   
 19. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Si unajua tena,labda ndiyo masharti.
   
 20. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ....mnatuharibia jf yetu jamani na habari zenu za kizushi......
   
Loading...