Wasanii wa Bongo Fleva wasiopenda kiki hustles

kidochi og

Member
May 27, 2020
45
74
1. FA
2. Mwasiti
3. Belle 9
4. Joh Makini
5. Rayvanny
6. Mo Music
7. Abdukiba
8. Lady J Dee
9. Prof Gizze
10. Dayna Nyange
 
Hivi kutokupe kiki wewe ndio unakuwa Hustler, akiri za kijinga hizi.

Diamond ndio msanii mkubwa kwa kila Angle toka Tz ipate uhuru na ndio Hustle kuliko pimbi yeyote alafu ana kiki kitebe.

Alafu mbona hao ni wasanii walioishiwa, Naomba toa neno HUSTLE limenikera kweli kulitumia hivyohovyo.
 
Usifokee wenzio mlamu!
 
Nakubaliana na ww 💯💯 .Ila nimesema wasio penda kiki. Mkuu katika angle ya hustles kila mmoja Ni hustles Ila mond ni big hustles. Tusifokeane...
 
Hivi kutokupe kiki wewe ndio unakuwa Hustler, akiri za kijinga hizi.

Diamond ndio msanii mkubwa kwa kila Angle toka Tz ipate uhuru na ndio Hustle kuliko pimbi yeyote alafu ana kiki kitebe.

Alafu mbona hao ni wasanii walioishiwa, Naomba toa neno HUSTLE limenikera kweli kulitumia hivyohovyo.
Upo sahihi kwa asilimia 💯 hustle alitakiwa mtoa mada aitoe
 
Back
Top Bottom