Haya Tumalize Ubishi Tazama Kichupa Alichoachia Rosa Ree Leo, Chemical Tunamweka Wapi?

Huku Mjadala Ukiendelea humu JF kati ya Rosa na Chemical nani Mkali, Rosa Ree usiku wa leo amedrop kichupa cha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Rapper Kutoka South Afrika Emtee...

Kitazame

<center></center>

Tuendeleee kujadiliana

rosa lee noma sema ngoma imetoka juzi mkuu acha kutulusha
 
Huku Mjadala Ukiendelea humu JF kati ya Rosa na Chemical nani Mkali, Rosa Ree usiku wa leo amedrop kichupa cha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Rapper Kutoka South Afrika Emtee...

Kitazame

<center></center>

Tuendeleee kujadiliana

Anaboa kutoa li ulimi lake nje kila dakika km Kenge....aache ushamba wa Kishumundu but anajua sana huyu demu atafika mbali sana akiendelea kukaza dunia itamuelewa...
 
Personally naona promo, kingereza na fu-ck* fu-ck* nyingi na swaga na videos kali pamoja na management ndiyo vinambeba rosa lee.
Wakipewa platform sawa chemical si way better than lee kuanzia style yake ya kuflow mpaka uandishi
 
Huyo demu ...anafaidika na Tabia za ukanda tu walizonazo kina adam mchomvu .na b12 dhidi ya kaskazini na sio vinginevyo....hamuwezi hata kidogo yule Tom boy """ tom yuko vizuri aiseee..sema tu hana management nzuri""... ukali wa video sio uwezo wa mtu kwenye uandishi /kuimba/Ku flow.... havihusiani hata
 
Kabisa Rosa Lee is overated video bora na fu-ck fu-ck zinawachanganya watz ila wangekuwa na management na platform sawa chemical ni mkali sana kuanzia uandishi na flow
 
wanajua basi hao " ni sawa na kusema " kuwa Dogo Janja nimkali zaidi ya Young d " kisa tu anAfanya video Kali " na anaishi kwenye Mazingira chanya zaidi kimaisha kuliko young d "......
 
Kabisa mkuu yani uliotoa ni mfano halisi kabisa
 
Huyo demu ...anafaidika na Tabia za ukanda tu walizonazo kina adam mchomvu .na b12 dhidi ya kaskazini na sio vinginevyo....hamuwezi hata kidogo yule Tom boy """ tom yuko vizuri aiseee..sema tu hana management nzuri""... ukali wa video sio uwezo wa mtu kwenye uandishi /kuimba/Ku flow.... havihusiani hata
Chemical anaandika afu anafiti popote. Yani ni middle kisheti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom