Maulid Kitenge unaboa na vituko vyako

Ananikera saana hata Mimi huyu maulidi amejaa sifa za kipumbavu, anapayuka hovyo hovyo tu Kama mhuni. Anakera saana. Siku hizi hata sisikilizi magazeti yake. Michezo ndo Hadi nataka kutapika akitangaza.

Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.
 
Nini kilikutuma umsikilize kama sio kiherehere chako?
IMG_20200804_131507.jpg
 
Ananikera saana hata Mimi huyu maulidi amejaa sifa za kipumbavu, anapayuka hovyo hovyo tu Kama mhuni. Anakera saana. Siku hizi hata sisikilizi magazeti yake. Michezo ndo Hadi nataka kutapika akitangaza.

Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.
Daaaah JF bana!
 
Kitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda
Kumbe aisee
 
Back
Top Bottom