Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Si vibaya kujikumbusha na pia kufahamu wako wapi na wanafanya nini sasa katika maisha yao. Je kuna chochote cha kujifunza kutoka katika maisha yao?


Je warembo wetu walifika wapi na wako wapi hivi sasa? Samahani kama nimekosea spelling za majina hapa na pale, nimejitahidi kadri nilivyoweza kuyapata.


1960: Carmen Lesley Woodcock
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture309-world-1960-carmen-lesley-woodcock.jpg


1967: Theresa Shayo
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture310-world-1967-group.jpg

kichuguu-albums-miss-tanzania-picture311-tanzania67.jpg



1994: Aina Maeda
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture312-tanzania94.jpg


1995: Emily Adolph
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture313-tanzania95.jpg


1996: Shose Sinare
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture314-tanzania96.jpg


1997: Saida Kessy
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture315-tanzania97.jpg


1998: Basila Mwanukuzi
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture316-tanzania98.jpg


1999: Hoyce Temu
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture317-tanzania99.jpg


2000: Jacqueline Ntuyabaliwe
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture318-tanzania00.jpg


2001: Hapiness Magesse
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture319-tanzania01.jpg


2002: Angela Damas
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture320-tanzania02.jpg


2003: Sylivia Bahame
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture321-tanzania03.jpg


2004: Faraja Kotta
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture322-tanzania04.jpg


2005: Nancy Abraham Sumari
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture323-tanzania05.jpg


2006: Wema Isaac Sepetu
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture324-tanzania06.jpg


2007: Richa Maria Adhia
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture325-tanzania07.jpg


2008: Nasreem Karim Ndiye

kichuguu-albums-miss-tanzania-picture326-tanzania08.jpg


https://www.jamiiforums.com/356281-post127.html
 
Theresa Shayo alifariki miaka michache iliyopita akiwa ameolewa huko Ujerumani; nadhani alizikwa huko huko.
 
naona mwaka 1960,white girls ruled the catwalk,lazima zilikuwa enzi za neema,maana unlike now kulikuwa hakuna kushinda kupitia the back door
 
Ngoja waje wenye uchungu na nchi yao watakwambia hii thread haina tija kwa taifa.
 
Wema sepetu ni kielelezo cha hiyo tija kwa taifa!ama kweli ukistaajabu ya musa..........!
 
Theresa Shayo alifariki miaka michache iliyopita akiwa ameolewa huko Ujerumani; nadhani alizikwa huko huko.

Mwaka 1967 ndipo hayati Theresa alitwaa taji hilo kwenye shindano lilofanyika hoteli ya Kilimanjaro, alifariki dunia january 26 mwaka 2007 na maradhi ya kansa ya tumbo huku akiwa na umri wa miaka 61; alifariki dunia huko Augburg Munich Ujerumani na kuzikwa uko uko alikokuwa akiishi miaka yote hiyo.
 
silivya bahame tulikuwa nae chuo,alikuwa law yeye!
-rough driving!Lol.nadhani ni mrembo pekee aliyepata gari ya maana.alipewa hilux double kibini

-ciggarate smoka!actually she was a chain smoker.uzungu mwingi.lol!wapambe wake wanasema maisha yake yote tangu anazaliwa alikuwa london

-pool-table!mama yangu.demu alikuwa master-pool

-HONESTLY SHE WAS THE SEXIEST WOMAN I HAVE EVER SEEN IN MY LIFE!maprof walimsumbua sana,wakamdisko kwa chuki zao tu.lakini akarudishwa

sijui yupo nchi gani dem huyu
 
silivya bahame tulikuwa nae chuo,alikuwa law yeye!
-rough driving!Lol.nadhani ni mrembo pekee aliyepata gari ya maana.alipewa hilux double kibini

-ciggarate smoka!actually she was a chain smoker.uzungu mwingi.lol!wapambe wake wanasema maisha yake yote tangu anazaliwa alikuwa london

-pool-table!mama yangu.demu alikuwa master-pool

-HONESTLY SHE WAS THE SEXIEST WOMAN I HAVE EVER SEEN IN MY LIFE!maprof walimsumbua sana,wakamdisko kwa chuki zao tu.lakini akarudishwa

sijui yupo nchi gani dem huyu

20777one.jpg


R0168_17_img1_4624.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom