Moja kwa moja naenda na mada tajwa hapo juu
Mtajwa jina hapo juu kwama tutakua pamoja humu JF maombi yangu kama shabiki kindakindaki
I beg you very much, utuimbie nyimbo za kiswahili tu hivi...
Naimani ulitegemea ujio wako utatrend machochoro zote ila mwisho wa siku imekuwa kawaida sana tena umekuja kipindi watz wapo bize na morrison.
Mapokezi ya kawaida, show mbovu na umepoteza mvuto...
Ugonjwa unaomtesa na kumnyoosha vilivyo Mr X kutoka taasisi fulani ya masuala ya muziki unachagizwa kwa kiasi kikubwa na laana za kuwadhulumu jasho lao wasanii mbalimbali hapa nchini kwa kujifanya...
Haji Manara " Bugatti" ameandika
"Shughuli ilikuwa hapa, Dua alizosoma Nassib sio za nchi hii, hakuacha Dua hadi helicopter ilipotua, sasa wakati chuma kinakata kona kuingia kwa Mkapa,, Nassib...
Ama kweli duniani hakuna mwembamba, Bill Nass tangu aanze kupiga mboga saba(msosi kama anasukuma kete za drafti) kwanza kunenepa, hakuna mwembamba dunia hii.
Kamanda ana kazi ya kulala na kushika...
Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu...
Hitmaker wa "Mama Kijacho" Tundaman asema kwamba "dume suruali" ya mwana fa alomshirikisha mwanadada v-money asema lilikuwa wazo lake.
Ni kweli wazo la wimbo wa "Dume suruali" lilianzia...
Je, na wewe ni moja ya wanaoamini Senzo alishakufa? Je, na wewe unaamini kuwa Lucky Dube ndiye aliyefanya conspiracy ili Senzo auwawe?
Angalia hii documentary.
.
Hivi mnamuelewa Aslay, labda nianze kuwauliza ndugu zangu, maana nilishafikiria Sana mpaka nimeona niwasharikishe na nyinyi.
Aslay ni Moja ya Wasanii Wazuri Sana Bongo na wanakipaji cha Hali ya...
Kuna siku nilimsihi MwanaFA na wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki pekee.
Nimefarijika leo kunitembelea na kutambulisha bidhaa yake mpya 'body spray'. Hii ni hatua kubwa...
Habari za asubuhi members wa JF.
Kuna siku Jumamosi ile ya wiki iliyopita nikiwa ninafunga ubuyu kwenye mfuko na kuchomea na kibatari kwa ajili ya kwenda kuuza kwa wanafunzi pale shule ya...
Kwa habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Lucky Moyo mashine hatupo naye tena duniani.
Kabla ya kufikwa na umauti ,Lucky alikuwa anaumwa sana japo mashoga wenzake walikuwa wamejitenga naye...
Katika birthday ya Gigy Money nimemuona Boyfriend wake akihojiwa You Tube. Huyu Mchuchu wake anaongea kingereza tu. Sijasikia akiongea kiswahili, je sio Mtanzania?
Mtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari.
Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid...
WanaJamiiForums habari za mchana,
Yule Daktari bilionea maarufu nchini kwa sasa ameonekana wilayani Kahama akiwa ni mgeni maalumu katika uzinduzi wa chuo hicho ambao unafanyika leo..
Picha zaidi...
Nilikuwa natazama animation flani ya muda inaitwa Bellarina sasa kuna wimbo ukapigwa unaitwa suitcase ukanivutia nikataka kujua kauimba nani.
Ndipo nikaja kugundua ni mwanamama mzaliwa wa...
Ujio mpya wa muimbaji wa Rose Muhando umefufua matumaini mapya kwa washabiki wake ambao walikosa matumaini baada ya muimbaji huyu kupitia misukosuko mingi ya kimaisha na kijamii.
Akiwa katika...
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake...
Baada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.