Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Salama Jabir akipiga story na Fatuma Karume. Wamezungumzia mambo mengi ila mimi kwangu hasa nilichokiona kwa Shangazi ni kwamba ni mtu ambaye hana furaha...
48 Reactions
103 Replies
17K Views
Naitwa Don Nalimison, Mwanamziki na Mtetezi wa Haki za Binadamu na Mshauri wa Mambo ya Kiusalama Duniani. MBINU AMBAZO MISS TANZANIA ANAWEZA KUSHINDA TAJI LA MISS WORLD 2020...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam wana jf... Pamoja na muziki wa bongo fleva kukuwa kwa kasi kubwa sana tena sana na kuzalisha fursa kila leo lakini kwa sasa umekuwa mgumu sana tena sana.....Wasanii kutoa nyimbo nzuri za...
2 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari wadau, Mimi mshabiki sana wa Bongo Flavour na nafurahi sana kuona wasanii waliokuwa pamoja wanazeeka pamoja kama marafiki au hata jamaa japo maisha yanatutenganisha. MwanaFA na Sugu...
24 Reactions
73 Replies
13K Views
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda...
0 Reactions
81 Replies
12K Views
I am not talking about who was wrong and who was right. Nazungumza kuhusu " teke" kama teke. Provided all other factors remain constant. Teke la Adamu Mchomvu ni la kichovu sana. Kwanini? 1...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
  • Closed
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa...
16 Reactions
1K Replies
238K Views
Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
✓Hii ni kutokana na taarifa za kutoka chanzo Cha habari kikubwa nchini marekani(USTOLD) kumtaja diamond platinumz Kama miongoni mwa nguli wa muziki wanaotarajiwa kushiriki kwenye wimbo na album ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana mitaaa ya Kinondoni nimekutana na Pauline Zongo akiwa kachoka sana saa 4 asubuhi kalewa chakari na ana mwonekano kama kachoka inasikitisha sana...... Nadhani anahitaji msaada wa hali ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni Dj gani umkimsikiliza redioni playlist yake huwa haikuvuti unaona anashusha madodo tu, au ikiwa Club siku hiyo unaona bora unywe urudi home ulale au uende joint ingine kwasababu nyimbo...
5 Reactions
170 Replies
25K Views
Hapa ninasikiliza interview ya Dr. Abbas msemaji mkuu wa serikali XXL, kwenye play list yake kachagua goma la Tshirt na Jeans, nikakumbuka hawa jamaa wa University Corner. Baada ya kutoa album...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Maskini vijana wa watu wakishinda bss tukiwaona mtaani bado hali zao za uchumi zimeyumba zinaanza stori kwamba wamefanyia hela umalaya, ulevi au starehe za kipuuzi, Kumbe hakuna kitu kama hicho...
9 Reactions
147 Replies
23K Views
Hawa Wote wamelipa ndugu watazamaji, Kule nangwanda mliona Hii ni Kigoma..
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Baada ya Shilole kuja public kulalamika kuwa amepigwa na mumewe Uchebe binafsi niliona Kama ameonewa na karibia watanzania wote tukaamini hivyo. Leo wakati nimepitia YouTube kuangalia shows za...
9 Reactions
81 Replies
10K Views
Habar wakuu kwema hukooo tanzania Mimi ni mzima moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu Mim ni mdau makini wa mziki wa kisasa hakuna jambo linalonipita kimya kimya nipo faster sanaa...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Back
Top Bottom